DARAJA LA DAR BAGAMOYO BADO SANA -MKONDO WA MAJI WABADILIKA




Kazi katika Daraja la Mpiji lililoko Mpakani mwa Dar na Bagamoyo bado ni kubwa hizi ni picha za asubuhi hii Bado wanaendelea kumwaga mawe na kifusi lakini kazi inaonekana bado ni kubwa.....Daraja lenyewe alijavunjika kilichotokea ni maji yameacha mkondo wake wa kupita chini ya daraja na kuchimbua pembeni ya daraja ambapo kuna muunganiko wa daraja na lami ....Ukiangalia picha ya Pili na ya Tatu Inaonesha Skaveta likijaribu kuchimba chini ya daraja ili kuurudisha mkondo katika njia yake ya kawaida,,,,,Ni Shida.....
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. balaaaaaa, dua zinahitajija sema watu utafikiri hawajui ni jukumu la mashehe na mapadri sasa kuiombea nchi yetu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad