Msanii wa zamani wa kundi la Daz Nundaz, Daz Baba amesema kuwa hatumii madawa ya kulevya kama watu wengi wanavyodhani.
Muimbaji huyo ambaye wiki hii ameachia wimbo mpya uitwao ‘Jela’ amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM kuwa yupo fit kuendeleza gurudumu lake la muziki.
“Kikumbwa mashabiki wangu wajue zile habari walizokuwa wanazisikia kwenye magazeti ni uzushi tu,” alisema. “Kwahiyo waelewe mimi bado nipo fit mentally, yaani kila kitu,ndio maana hata sasa hivi nimeweza kuzungumza.Watu walikuwa wanatafuta mchongo wa wao kusikika,mimi nikiwa fit nasikia kuna mtu ananizungumzia,kwahiyo nilikuwa naona kwa chini kuna beef fulani,sasa mtu anakuwa na beef anashindwa kuongea? Kawaida sisi marasta tunapenda kuambiana live, wewe kama una kinyongo unachana.Watu waelewe Daz Baba hatumii madawa na ni mwiko kwangu mimi. Kwanza ni rasta na unajua sisi tuna imani rasta ni upendo, sasa kama una upendo lazima ujipende mwenyewe, wewe huwezi kumpenda mtu kama mwenyewe hujipendi utakuwa mnafiki. Siwezi kutumia unga wakati mimi najua una madhara watu wanapinga halafu nije kutumia drugs wakati nina malengo, afanya shule nini,nina familia, kwahiyo nilikuwa kimya kutokana na project ya Tanzaniano.”
Daz Baba ambaye ana watoto wawili mapacha,amewataka mashabiki wa muziki wake kuupokea kwa mikono miwili wimbo wake mpya ‘Jela’.
uso huo ukimuangalia tu hubishi
ReplyDeleteteja hilo!
Teja kabisa hili no ubishi. Oo
ReplyDeletenisawa na kukana kua yy c Daz ni profesa j.
ReplyDeleteLimekana starehe yake
ReplyDeleteKitaaluma mie ni daktari muhimbili,huyu jamaa anatumia na yuko hatua ya mwisho kuathirka kisaikolojia,nigeshauri aachane na madawa ,kama yule aliyekiri kwa mheshimiwa.
ReplyDeleteWe sio mtaaluma bali ni SANGOMA! Utaonaje athari za kisaikologia kuputia picha iliyo gazetini na hujuwi ni lini ilipigwa?
Deleteuinaonekana kabisa kama wewe teja na afya mgogoro
ReplyDeleteAnatishaje
ReplyDeleteMteja
ReplyDeletehata ferooz anasema ajawai tumia bangi....teeeh....teeh
ReplyDeletekula vitu vyako kumalamakoo muone nywele ka unafagia lamiii af unafana na mbuzi.
ReplyDelete