DIAMOND AHAHA KUTAFUTA COLLABO NA BEYONCE

Hii Habari nimeisoma katika Gazeti moja Jana kuwa Diamond anahangaika kuwasiliana na Beyonce ili wafanye Wimbo Pamoja , Inasemekana Diamond alitafuta Number ya Beyonce kwa bahati nzuri akaipata na kumpigia simu na kumweleza anachotaka ila Beyonce akamkatiza na Kumuuliza huna Manager ? na Kisha kukata simu ..kwani Maswala ya Kazi Kwake lazima yapitie kwa Manager akiwa na Maana kuwa Manager wa Diamond Awasiliane na Manager wa Beyonce ndio Waanzia hapo kama kikieleweka poa , Mhh Goodluck Brother kama ni kweli na Ufuate Protocol 
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Looh!2mekuchoka uwishi kujshau

    ReplyDelete
  2. kaza kijana !!!
    Uko utafika tuu !!

    ReplyDelete
  3. ha ha haa! kwa kingereza gani?????????

    ReplyDelete
  4. na ushamba wake kutaka misifa vp Nigeria umewanaliza

    ReplyDelete
  5. hapo ni sawa sawa na mbingu na ardhi

    ReplyDelete
  6. Na acpofanyanae hiyo collab atasema nin!!!! Kazi kujishaua

    ReplyDelete
  7. Acheni wivu nyie wapumbavu kwani beyonce ndio nani mnakalia roho mbaya tuu, kaza buti dmond achana na maskini wa nafsi,naww unasema kwa kingereza gani chako kizuri kiko wapi kazi umbea tu

    ReplyDelete
  8. Kwani Beyonce ye nani mbona mnajishusha sana,ndo maana mnadharaulika

    ReplyDelete
  9. lugha gani ilitumika katka hiyo cm? kiha au kimanyema

    ReplyDelete
  10. Diamond mini huwa napenda sana kuskiliza nyimbo zako na kwa kweli nakupa hongera unajitahid sana. Wabongo hem acheni kukatishana tamaa bana. Kwani Beyonce anaongea lugha za wanyama ata asieleweke na binaadamu au anaongea english ya kwenye vitabu? Mbona anaeleweka, na kama ni kweli amekwambia management yako iongee na yake bas ni kwamba fata taratibu tu na kila kitu kitakuwa sawa.

    ReplyDelete
  11. jamaa sifa nyingi sana uyu anaoenda kila suku aandikwe yeye na demu wake wasifa hawa show off ile nbay hawa

    ReplyDelete
  12. Kwani diamond huwapigia simu hawa wamuandike? Magazeti yanamuandika wenyewe ill wapate kuuza. Me nadhani tushindane kimaendeleo sio kuchukiana ati tu sababu mtu anapiga hatua nzuri kimaendeleo. Diamond keep doing boy!!!!!

    ReplyDelete
  13. iyo imekufundisha you need to work professional; usifanye kazi kujua kaliii

    ReplyDelete
  14. acheni maneno ya dharau kwani nyie mmefikia wap, wabongo bwana kwa chuki wamezidisha, jamaa amefanikiwa kiukweli kwa sasa aendelee kukaza but atafika mbali zaid

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad