DIAMOND ALIMWAGA CHOZI ALIPOKUWA ANAREKODI CHORUS YA "KIPI SIJASIKIA"

Profesa J amesema Diamond Platnumz, alilia machozi wakati anafanya chorus ya wimbo wake ‘Kipi Sijasikia’

Rapper huyo alikiambia kipindi cha Sunrise cha Times FM kuwa wakati Diamond anarekodi chorus hiyo yeye na Majani walishangaa kumuona hitmaker huyo wa ‘My Number One’ akibubijikwa na machozi ndani ya ‘booth’.

“Lakini kilichotushangaza alipoingia booth ili arekodi chorus Diamond alikuwa anaimba huku analia. Sisi tuko kwenye monitors huku tunamuangalia jamaa upande wa pili kwenye booth tunamuona Diamond analia.

 "Alikuwa emotional unajua ile…ilimgusa sana. Sisi tulikuwa tunashangaa mimi na Majani ‘huyu jamaa analia nini?’ Lakini baadae tulimuuliza alituambia ‘nimefurahi sana katika maisha yangu kufanya kazi na Profesa Jay pamoja na Majani, hilo moja.

"Lakini pili, mlivyoimba humu ndani vyote vinanihusu mimi…vimenitokea sana katika maisha yangu na changamoto zote hizo’..so yale ndio yalitokea studio. Kiukweli hii ngoma ilikuwa blessed tangu studio na kila mtu alikuwa anasema ‘yeah men it’s on’, alisema Profesa J.
Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. usilie diamond hata mimi nimelia sana kila dk mpaka sijielewi....

    ReplyDelete
  2. kweli diamond na mimi yalishanikuta mwenyezi nilinde

    ReplyDelete
  3. We Nana kumalamamako kuma wewe nikufireje ndo uache kushobokea watu!? afu ndo maana huishiwi mzinga hufanyi kazi kazi kukomenti tu kuma mdebwedo au uingizwe bolo masikioni ndo usikie kuma la bibiako domo domo tu kama mboo isiyotahiriwa kundu la shoga sana wewe.,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani bila kutukana huwezi kuandika

      Delete
  4. Kazi za pr j zinahisia sana, hongera br j kwa kazi nzuri

    ReplyDelete
  5. Nyie wasenge mlio op na dmond amjalazimishwa kukoment mikundu ya Baba zenu inatoa funza, roho mbaya kama wachawi nyoooooo

    ReplyDelete
  6. Kumchukia tuu mtoto WA watu mbwa nyie na hamtaendelea na vijiba vyenu vya roho ya uumaskini, kwani kosa lake nn c kaimba kwa icia

    ReplyDelete
  7. inauma pia inasikitisha kwa hili pole sana diamond yote haya ni maisha tu wenye chuki hawaishiwi chuki pamoja na yote hayo bado upo juu sana usijali mungu yupo na wewe nakuombea maisha marefu

    ReplyDelete
  8. inauma pia inasikitisha kwa hili pole sana diamond yote haya ni maisha tu wenye chuki hawaishiwi chuki pamoja na yote hayo bado upo juu sana usijali mungu yupo na wewe nakuombea maisha marefu

    ReplyDelete
  9. pole xana diamond haya yote ni maisha inauma xana pia inasikitisha nakupend sana dp ucjali mungu yu pamja naw usijali nn wat wanaonge wew ni bora zaidi ya bora pole sana

    ReplyDelete
  10. Asa ww unayemtukana nana kakufanya nini una nyege mshindo ww....afu inaonekana kabisa ni mgen wa mitandao ya kijamii na hujasoma na upo katika kipindi cha balehe kias unaota sana ndoto nyevu....matako wee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad