DOUGIEMASTA13 "NEY WA MITEGO NASIKIA UNANITAFUTA MPAKA UNATEKA WATU ! HATA MIMI NAKUTAFUTA"

Mambo ya Instagram ...Ile Sakata la Ney wa Mitego kudaiwa Kumteka Dada mmoja na kudai amtajie Dougiemasta ni nani linaendelea huko Insta....Dougie Masta nae Ajitokeza na Kuongea haya hapa chini:

"Mfyuuuuuuuuuu @neywamitegoo mbwa bahar ww eti unamtafuta @dougiemasta13 unataka kumjua ss ukinijua utanifanya nn kwa mfanoo ehh, kwanza ninani alikuwambia kuwa nakuogopa tena maanzaje ss kuanza kukuogopa eti kisa huo mwili wakowa tofari la kigaee ukirusha jiwe kinapasukaa fala ww kafe mbele kwan me ndo nilomtuma mwanamkr wako akavalishwe pete na kukugeuza ww mariooo si umalaya wake mwenyewe na dhiko zako ndio zilikuponz.mtoto wa kiume jitume sio kutegemea wanawake na kutegemea migongo ya wenzio ili kutoka kimaisha,mfyuuuu domo kama mlango wa ikuruu na meno yalio kuzid mdomon fala mkubwa ww tena ujipangee sana maana ww unanitafuta na mm nakutafuta so tunatafutana...eti nitawafundisha adabu jifunze ww kwanz hiyo adabu tena uishike na nyengine unining'ing'inize kama irizi,raisi wa manzese utakuwa ww mnuka midomo na tattoo zako za pa1 zinachanganywa na piko umekuwa bi harusi au dada neema ujipange tena sana kama umezoea kutishia watu hapa umetishia mnyama fala ww kwanz unaimbaga nn me skuelewi naskia Thi thi kibaoooo,endeleea kunitafuta na mm nakutafuta so tutafutane afu unifundishe hiyo adabu,marioo mkubwa nywle utasema umebeba siafu kichwani...afuu hii ni kwa wote unao nitafuta endeleeni lk mjue na mm nawatafutaaa so tutafutaneee...umeshindwa mfundisha mwanamkr wako adabu utaniweza mm nyoooooo,raisi hajui kuongea umeona wapi raisi huna mbele wala nyuma na umshukuru siwema kwa kukuweka soap soap maana ulijitia kuleta style yako ya kuvaa ndala ukaishia kuvaa mwenyewe,wanakuogopa manzese sio instagramm msukule ww baunsa wa makopo ya rangi ukamtishe wa vyuma hahahahahhahahah itafaamika na ishakula kwakoooooo...naendeleaa" By Dougiemasta13

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmh me napita tuu.....na kick ndo tunauza mjue,,,,,,

    ReplyDelete
  2. Biff Hazifai Jamani Kaeni Peace Vijana

    ReplyDelete
  3. duuuh nimeipenda hii cyo muda wa kutishiana maisha ila ni muda wa kusaka noti ,safi mwana kwa kumchana ney maana amezidi

    ReplyDelete
  4. dougiemaster mwenyewe shoga tu mwanaume anatunga mashairi kwa mwanaume mwenzie, nio nn sasa ushamba tu hilooo lione

    ReplyDelete
  5. ungekuwa kidume na umuogopi ungemface na sio kuandika mitandaoni ili iweje boya nini

    ReplyDelete
  6. Kaka Dougie Masta muziki ulio uwasha utaweza kuucheza? mana cye ni watazamaji kwaz kwenu bahna japo mwanaume cyo knyonge lakin duuuh! Ney shughuli nyingne bahna.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shughuli nyingine huko huko manzese, ila asijaribu kuchezea watoto wa mbwa waliopinda na kupindukia, kama uliwaona Shamba la bibi, wale wanaovunja vitofa kwa kichwa!!!

      Delete
  7. Watoto WA mbwa bongo, mnatafuta kick kupitia nay kajambeni hukona mkazibwe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad