Stori:Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amewatoa nishai viongozi wa Bongo Muvi kwa kueleza kuwa, risala iliyosomwa siku ya ‘bethidei’ yao ya kutimiza miaka mitatu imepotosha ukweli.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Dude alisema ameshangaa kusikia kwenye risala hiyo kuwa waanzilishi wa umoja huo ni Kanumba, Sajuki, Jimmy Mafufu na wengineo wakati ukweli hauko hivyo.
“Ile risala imepotosha, Bongo Muvi ilianzishwa na wasanii wa muziki na filamu wakiwemo mimi, William Mtitu, H.Baba, Simon Mwakifwamba, MwanaFA na Fid Q na wengineo kwa lengo maalum, nimeshangaa kusikia vile,” alisema Dude huku akisisitiza kuwa, yeye hajisifii ila ukweli usipindishwe.
GPL
Bongo move wote njaa tu, hamna lolote mnaacha kushirikiana mjikomboe kutoka kwa wanyonyaji wa kazi zenu, ndo kwanza mnaanza kupondeana nani mwanzilishi wa bongo move, inasaidia nn sasa hata ww dude ndo mwanzilishi, pambafu zenu bongo move wote
ReplyDeleteNa we ni mkundu kwa nn wadanganye?
Deleteya ukweli lazima uzungumzwe hata kama inauma
ReplyDeleteMalaya wote akuna mzima pumbavu zenu
ReplyDeletebongo movie imeoza yoteeee
ReplyDeleteKama imeoza funza ni ww hapo juu
ReplyDeleteKama imeoza funza ni ww hapo juu
ReplyDeleteLkn ulitakiwa uwaambie na hao walioandaa risala usikie wanasemaje ndipo uje kwenye vyombo vya habari
ReplyDeleteAwaambie ili iweje mdau wakati wenyewe washaamua kudanganya unataka awaambie wamdanganye tena Mara ya pili...
Delete