DUDU BAYA AKANA TAARIFA ZILIZOZAGAA KUWA AMEMKATA MAMA YAKE MASIKIO

Siku ya leo zimesambaa habari katika mitatandao kuwa Mwanamuziki Dudubaya Amemkata Mama yake Masikio na amekimbia na kujificha huku Polisi wanamtafuta, Dudubaya Amehojiwa na Gossip Cop na kusema hata yeye anazisikia hizi habari na kupigiwa simu tu hajui chochote na wala hatafutwi na Polisi...Lakini amesema anajua wanao sambaza hizo Story ni ndugu zake mwenyewe ambao wanamuonea wivu baada ya kumjengea mama yake Nyumba.....

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mshenzi mkuvwa uyu anatfuta umaalufu nani amuonee wivu amemkata mama yake mkubwa tena kachemsha akionyesha sura yake tu lzm akamatwe

    ReplyDelete
  2. ushunzi kafulia vby uyu iyo pesa katoa wapi kujenga nyumba alishindwa kujenga zaman wakati nakula ujana ajenge leo hahahaha kafulia mpaka kawa chizi

    ReplyDelete
  3. hivi kumbe bado yupo, nshasahau kama yupo mwe kumbe na yeye ana exist

    ReplyDelete
  4. Mmh, jamani nilmsahau kabisa huyu br, hv yuko bongo hii au mikoani?

    ReplyDelete
  5. Muongo huyo mi mwenyewe naishi kisesa jirani na mama yake ajajenga nyumba wala kibanda cha choo. Anaishi kama digidigi kwa aibu, yuko mwanza mara´kwa mara utamkuta pale villa park anombeleza konyagi, mshenzi mkubwa laana ya mama yake.

    ReplyDelete
  6. Dudubaya kama kweli umemjengea mama nyumba tuambie umeijenga wapi ili mapaparazi tutie timu tukusafishe jina.

    ReplyDelete
  7. Usela mavi unamsumbua

    ReplyDelete
  8. ajenge nyumba ana nlmavi sasa km ulitaka kutafuta skendo ujulikane tena upo duniani hii ndiyo imekudondosha kabisa yan tunakuona km chizi fresh akuloge kwa kipi mama wa watu na uzee wake watoto wake uyo bi mkubwa lzm wazae na ww kwanza maana aba timu ya watu na mm mmoja wao

    ReplyDelete
  9. eti wanakuonea gele umemjengea mma yako kwanza uyo mama yenu mkubwa ndiyo raisi wa ukoo wenu maana ana pesa sana sema uzee tu uyo mama yako alikuwa anaponea kwa dada yake ba maisha yake duni eti leo walogwa subir ushughulikiwe ndiyo utajua sifa ni mbaya utaishi km digidigi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad