HALIMA KIMWANA AFUNGUKA KUHUSU MASTAA KUMTONGOZA DIAMOND

Aliyejipachika kuwa dada wa hiyari wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni zao la Shindano la Kimwana Manywele, Halima Haruna ‘Kimwana’ amefungukia ishu ya mastaa kibao kujitongozesha wenyewe kwa jamaa huyo

Halima Kimwana alielezea sakata hilo wikiendi iliyopita baada ya kuulizwa undani wa skendo inayomkabili ya kumkuwadia au kumtongozea Diamond kwa mastaa na kuwabadilisha kama nguo.
Kwa mujibu wa Halima Kimwana, huwa Diamond hajisumbui kumtongoza mwanamke zaidi ya hao mastaa kujitongozesha wenyewe kwake.

Halima Kimwana alidai kwamba yeye kama dada wa mwanamuziki huyo (hakutaka kufafanua dada kivipi), amefikia hatua ya kusumbuliwa na wasichana wa kila aina hasa mastaa wakimuomba awatongozee kwa Diamond tena kwa ahadi kemkemu.
“Kwani unafikiri Diamond anajihangaisha kuwatongoza hao mastaa? Wao ndiyo kila kukicha wanamsumbua na kutuhangaisha sisi wakitaka tuwatongozee kwa kaka yetu.

Tena wengine wanatoa ahadi nyingi tu kama tukiwafanikishia,” alisema Halima Kimwana na kuongeza kuwa katika listi hiyo ya mastaa wanaojitongozesha kwa Diamond, wapo mastaa wakubwa ambao anawahifadhi ili asiwavunjie heshima.

GPL

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. napita tuuuu..

    ReplyDelete
  2. Hawa GPL hawana habari kila cku habari za diamond/wema.hizi kama mmeishiwa tafuteni kazi nyngne mfanze.kwa kweli tumewachokaaaaaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  3. Sasa watauza vipi magazeti bila ya wema na nasibu. Unataka wakale wapi

    ReplyDelete
  4. GPL na akina wema wanategemeana simmeona pamoja na wema kuwawakia lakini bado wanamwandika,wao wenyewe wanajua bila wema,Diamond biashara inakuwa mbaya,wanajua wateja wao wnataka nini.

    ReplyDelete
  5. jaman wapo kazi mjini uspo ishi kwa ujanja utakula wapi?

    ReplyDelete
  6. Wakiliwa 0713 nawe zambi upate..... kuwadi mkubwa!

    ReplyDelete
  7. Hao.mastaa wako wapi hapa Tz.acheni kuwakuza watu mm hapa napata tabu kumjua staa Tz.naona ni wasanii wa kawaida.STAR LIKE M.JACKSON, J.BOND.JLO TZ hakuna wa aina hii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti hata steve nyerere star Tobaaaaaa

      Delete
    2. eti mastaa.lil wayne tumuiteje

      Delete
  8. Hata William malechela ni super star kweli Bongo shida toka lini Dreva wa magari ya uchafu WA hospital ni star

    ReplyDelete
  9. Wanaomfuata ni mashogha wenzie, hata elimu hawana so hawajuwi nini maana ya maisha, ss unachoproud kwa upumbavu wa tabia zenu hizo bado na wewe ni mbumbumbu wa,maisha, wasenge nyie wote

    ReplyDelete
  10. mbona hemed aliposema mkome kumsumbua mlimtukana nashangaa hapa sioni matusi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad