HALIMA KIMWANA MBABE WA WEMA SEPETU

Imeelezwa kuwa Diamond hapindui kwa halima kimwana kutokana na ukaribu wao wa mda mrefu, Wakati mpenzi wake Wema sepetu akiwa hapatani na kimwana kama paka na panya, hiyo haijasababisha Diamond kuwa mbali na kimwana, kwani ameshawahi kukiri kuwa hakuna atakayeweza kuwatenganisha na best wake huyo wa long time.

Kama ilivyo kwa kimwana, Diamond hawezi kupindua kwa wema sepetu .wakati kimwana yupo very close na familia ya Dangote, kitendo ambacho kinamuumiza zaidi madame kwani familia ya diamond imekuwa ikimchukia madame na kumkubali zaidi penny na halima, kitendo kinachomfanya penny awe karibu na kimwana kwni anajua fika diamond hapindui kwa kimwana.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dymond huwa anamshukuru sana Halima mana ndo anamfichia siri za waganga wake,,mana haliwa anawajua wote na ndo.msindikizaji wake.mkubwa,,,,

    ReplyDelete
  2. Lazima watakua wanabanduana hakuna cha udada wala ukaka hapo

    ReplyDelete
  3. hiyo ilikua pikolo,,hawa watu kabla hata dimond hajatoka walibanduana kitamboooooo,eti dada huyo gubegube ndo linavyopenda kuita watu mara dada mara unti mara dady mara kaka yaani njaa zinamsumbua halima kweli mjini juakali basi ukipata mteremko unajing'ang'aniza hatarii,,kwendeni zenu huko kawadanganyeni wajinga eti kaka na dada

    ReplyDelete
  4. ana ubabe gan na pengo lake km uchochoro

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad