MWANAMITINDO maarufu nchini, Hamisa Mabeto ametishia maslahi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie baada ya kujitosa rasmi kwenye tasnia hiyo na kung’ara katika Filamu ya VIP akiwa na mastaa, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Jacqueline Wolper.
“Wasanii wajiangalie nafasi zao baada ya Mabeto kuingia kwenye filamu maana ndani ya VIP amekamua sana na wasipokuwa makini atawasumbua kutokana na mvuto ulionao,” alisema Ray.
Mabeto ametamba kwenye ulimbwende tangu mwaka 2010 alipoibuka mshindi wa shindano XXL Back to School Bash.
Mwaka 2011 alishika nafasi ya pili katika shindano kumsaka Miss Dar Indian Ocean na baadaye Miss Kinondoni.
Mwaka 2011 alishiriki Miss Tanzania na kufika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Mwaka 2012 akafika hatua ya kumi bora kwenye Miss University.
Hivi karibuni alipata ulaji wa kupamba kava la gazeti moja la Kenya.
HAMISA MABETO AWATISHIA AMANI WASANII WA KIKE BONGO MOVIES
12
April 27, 2014
Tags
big up mdada ila umalaya no
ReplyDeleteHivi.... Is there any connection between kuwa miss na kuwa muigizaji?... Bongo tumeweka akilini kuwa mtu akiwa mrembo tu basi anaweza kuigiza... KUMAMAYO ZENU!!!!!
ReplyDeletendio zao.
Deletehuyo Ray mwenyewe si alishasema mvuto kwanza mengine ndo yanafwata.
ReplyDeletehehe kazi ipo bongo muvi
kwa kipi asa awatishe kawaida sana labda kwa mabwana wajipange
ReplyDeletekila mtu muigizaji wanauza sura kwa midume yetu yenye pesa iwachukuwe apo shida
ReplyDeleteDada Malaya. Huyu hata lulu kanumba aoni ndani,Huyu umalaya wake umepitiliza
ReplyDeleteUlimshuhudia wap?
DeleteNashangaa!
DeleteHiv......mhuuuuuu???????????????
ReplyDeleteJamani msaada tutani,kwanini misichana ya bongo movie ikipiga picha itatumbukiza midole Yao mdomoni?ndio fashion?na yoote Ni misagaji penny,wolper,hamisa,na mingine nimeisahau mijina Yao .disgusting aarrrrrgggggg!!!!!
ReplyDeletemimalaya yote na inatumika kotekote
ReplyDelete