HENRY KILEWO AFYATUKA"RIDHIWANI HATA KAMA BABA YAKO NI RAIS HUWEZI KUKOSA ADABU KIASI HIKI"

Riziwani hata kama Baba yako ni Rais huwezi kukosa Adabu kiasi hiki na kufikia hatua ya kumtukana na kumdhalilisha Mzee Warioba kiasi hiki... Tunakuhakikishia Heshima ya Mzee warioba haiwezi kuvunjwa na wauza sembe milele.... Warioba anaona mbali sana kuliko wewe na kizazi chako kwa miaka 50 ijayo au zaidi... Fuatilia hapo chini.

By Henry Kilewo
Tags

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwambieni Riziwan aache upumbavu,,,,
    Huko Ni kumkosea heshima Mzee Warioba,,
    Akumbuke Tu kwamba elimu aliyonayo Warioba hata Baba yake kikwete Hana,
    Aache dharau za kisenge ,, Aendelee na sembe zake.

    ReplyDelete
    Replies

    1. Mbona watoto wa Nyerere kimya mkapa kimya hawa wa kikwete Jamani Mbona balaa Huyu. .

      Delete
  2. Warioba hana jipya aende zake coz maneno ya Ridhiwan yako sahihi kabisa.Yeye kalelewa na serikali mbili leo hii kazeeka anaforce serikali tatu WHY?????

    ReplyDelete
    Replies
    1. watnzania wengn hawna hta busar serikal 3 n matkw yetu sis wananch tulikuw weng coz tunawanyonya sana wznbr na lazm mjte tngnyk na viongz wen wauz sembe

      Delete
    2. Hao wengi wanaotaka serikari tatu au mbili ni kinani hili nazani ni kura tu zitatoa majibu kuanzia bungeni hadi kwa wananchi ful stop

      Delete
  3. Huwez kusema asilimia 17 ya watu laki tatu waliotaka serikali tatu ndo maoni ya Watanzania!..kuna watanzania milion arobain anaemsapoti warioba afikirie na aisome rasimu sio kufata mkumbo kisa ni wapinzani!

    ReplyDelete
    Replies
    1. We tako hata u-half genius hauna... dumbass! Yawezekana ni 1/100000 genious, hebu jiulize kitu we mkundu... kama walijua asilimia itakayohojiwa ni 17 kwa nini walipoteza hela kuwalipa wale waliokuwa mitaani kukusanya maoni??? Kama huna cha kusema jitie dole la mkundu kunguru maji we... I'm out!

      Delete
    2. Hujamwelewa jamaa, kwanin warioba hakuwahoj asilimia 50 ya watu laki tatu. N kosa lake na tume yake kwa suala sensitive kama hlo, ahoj just asilimia 17? Maana yake asilimia 83 hawakuona kama muundo wa serikali ni ishu..

      Delete
  4. Siamini kama mtanzania wa kawaida asiyekuwa na lengo la kugombea madaraka kwa namna yeyeto anahitaji serikali tatu...hii ni hoja ya wachahce wenye uchu wa madaraka...Chadema wanajuwa serikali tatu itawapa nafasi ya kushinda bara wakati hadi sasa wameshindwa kukiimarisha chama limebaki jina tu na kuendelea kupinga hoja ilimradi waonekane kama bado wapo...Cuf nao wanaamini serikali tatu itawapa nguvu Zanzibar na kuachana na bara...Warioba maoni aliyoyatoa ni ya wanasiasa na si yawatanzania..hebu muulize matanzania wa kawaida kama anazijuwa kero za muungano?? Inawezekana Warioba alifanya kazi kubwa hapo nyuma lakini kwa hili amechemka na sio kigezo kwa yeye kuendelea kuaminika kwasababu ya historia yake

    ReplyDelete
  5. BINAFSI KWELI HILI TAIFA MAADILII HAAKUNA ,MPAKA SASA WATU HAWAJUI WARIOBA KAWASILISHA NINI,ALICHOWASLISHA WARIOBA NI MAONI YA WANANCHI,TATIZO WANANCHI WAMETOA MAONI YAO YANAKINZANA NA WATAWALA ,NDO HAPO WANAANZA KUMLAUMU WARIOBA,ILE TUME ILIKUWA NUSU WAZANZIBARI ,INA MAANA HATA WAO WAMEBURUZWA NA WARIOBA ? UNAPOSEMA KWA NINI HAKUDAI SERIKALI TATU KIPINDI CHA NYUMA HATA MIE NAKUSHANGAA,JIBU NI KWAMBA ALIKUWA HAJATUMWA KWENDA KWA WANANCHI,NA AMEFANYA REJEA KWENYE TUME ZA,KISANGA,SHELUKINDO,NYALALI,AMINA,ZOTE ZINATAKA SERIKALI 3,G55 WALITAKA 3 BARAZA LA WAWAKILISHI WALITAKA3, BUNGE LLA JAMHURI 3, NA HATA WANANCHI WALIOZUNGUMZIA MUUNGANO WALITAKA 3,MAKOSA YA TUME WARIOBA YALIKUWA WAPI ? MLITAKA APINDISHE AMBACHO HAMUTUMWA NA WANANCHI,? LUCAS J NIKO MWANZA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pamoja jembe! Wakishindwa kuamua muundo wa serekali badala ya kupoteza muda na fedha zaidi bila mafanikio, bora pesa zipotezwe kwa kura za kitaifa juu ya muundo wa serekali.

      Delete
  6. ...... Riz, Warioba haongei kama ccm anaposema serekali 3 kuna kazi amepema na akina baba zako na hayo ndio majibu yake, ila nyie mshazoea spika bunge alipeleke ki-ccm, raisi nchi aitawale ki-ccm, kuna kazi za chama, mtajuana... ila kunako kazi za kuwajibikia nchi na wananchi hazitakiwa kuendesha ki-ccm. Kisha hatujatangaziwa kila mtu kwamba siku zake labda ni 30000 za kuishi, kama unajua za kwako hongera yako.
    Mimi maoni yangu ni serekali moja tu kisha kuwe na majimbo..... kama haiwezekani basi tatu ila 2 kwa sasa ni kuchezana shere tu. Kama vipi kura za kuhusu muundo wa serekali zifanywe kitaifa wananchi waamue.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una akili kuliko kilaza Rizwani. Muungano wa kweli ni ni serikali 1, hizo mbili wakaunganishe Bagamoyo na Chalinze

      Delete
    2. Una akili kuliko kilaza Rizwani. Muungano wa kweli ni ni serikali 1, hizo mbili wakaunganishe Bagamoyo na Chalinze

      Delete
    3. Una akili kuliko kilaza Rizwani. Muungano wa kweli ni ni serikali 1, hizo mbili wakaunganishe Bagamoyo na Chalinze

      Delete
  7. Tuko pamoja kaka huo ndo mpango mzima.

    ReplyDelete
  8. Huyu mtoto riz1 pumbavu sana

    ReplyDelete
  9. Ridhiwani na babako wote pumbafuuuuu zenu, hii nchi sio ya kwenu, mnatakiwa muwe na heshima na wazee wa nchii shwain kabisa nyie, baba ako amekalia kufuja mali ya wananchi wa tz kila siku analala airport kwa safari zisizonamanufa kwa wa tz, na we msege ndo muuza unga maarufu hapa nchin na nje ya nchi, unatumia wasanii kusambaza unga na yule matoja ulipomtuma china akakamatwa, baba yako kajifanya kuomba msamaha kwa kuwpa wachina makaa ya mawe ili wamuachie, sasa suburi baba achie ngaz tutawawashia moto nyie pumbavu zenu, na afanye haraka kumtoa babu seya kabla hajatoka madarakin, malipo yenu yankuja hapahpa tz, tutawaonesha tu, wafirwa na OBAMA NYIE MBWA KOKO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bado tunaendelea kuifatilia IP address yako pamoja na location ulipo, na tunakaribia kukukamata ili tukufanyie mahojiano. Jiandae kwa hilo kijana.

      Delete
    2. Wacha Hiroshima vya kisenge. Watu wakisema ukweli mnatupa vitisho wakati mmetuvuruga nyie wakina Kiwete and clan. Screw this bull shit hata kirefu cha IP hujui mbwa koko wee. Kamata na IP add. yangu inaanza na 192.168 malizia wewe ili unikamate. Nguruwe jike wee.

      Delete
  10. nadhani Mh RIZI hana elimu yoyote kichwani bali ana vyeti tu (maganda).. kuwa mtoto wa rais uwe na busara, usiropoke ovyo, usifuate tu upepo ili ukiulizwa usikise majibu kama zuzu. Kaa chini fikiria kwa makini nini kosa la mz Warioba?

    ReplyDelete
  11. Big up mdau serikali moja na majimbo

    ReplyDelete
  12. mwendo wa majimbo kama america baaac

    ReplyDelete
  13. km mtanganyika hana haki za kiraia zanzibar, place with less people compared to ubungo jimbo. ina raisi, makamu wawili, baraza la mawaziri, mawaziri wa muungano,wabunge wao wabunge wa mungano, bunge lao..... km ni muungano kweli twende kwenye serikali moja na tuwe watanzania kweli sio tukiwa bara wote ni watanzania tukiwa visiwani hawa ni watanganika.

    ReplyDelete
  14. nashangaa huyu muuza sembe nae kachaguliwa kuwa mbunge

    ReplyDelete
  15. Serikali moja tu ndio mwisho wa matatizo wazanzibar kwao watanganyika kwetu,,Watanganyika zanzibar tunaonekana kama watalii tuu,,Ukinunua Tv tu bandarini unalipa ushuru wakati wa kuja bara,,Ridhiwani ni msenge tu kama babaye anekubali ushirikiano na wachina wakati hata Viwanda vya kutengeneza chupi hatuna kila kitu mchina tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad