HONGERA MARIA SARUNGI UNAITENDEA HAKI ELIMU YAKO

 Kama kuna Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba ambao nimetokea kuwakubali sana hivi sasa basi Maria Sarungi ni mmoja wao.

Sio siri leo ndiyo mara yangu ya kwanza kumsikia dada huyu akitema cheche pale bungeni.

Kilichonivutia kuhusu huyu Lady kwanza kabisa ni ujasiri wake wakati anaelezea kile anachokiamini, pili ni ule uwezo wake wa kujenga na kuiwasilisha hoja yake vizuri.

Maria Sarungi ana mengi ya kuvutia kama mwanasiasa anayeinukia na mimi nimeanza kumtupia jicho la karibu kwa maana nimeanza kuona dalili za Condoleezza Rice wa Tanzania in Maria Sarungi.

She looks funky, beautiful, intelligent and tough just like Condie Rice is. I can see a bright future in her.

Keep it up Maria Sarungi, Our Condie Rice

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MHHHH ! NI SHIDA

    ReplyDelete
  2. ni nani ni bora ungemueleza watu waweze kumfahamu vema

    ReplyDelete
  3. Anajtahid bt akiwa bungen anatumia muda mwingi sana kuchat na simu yake. Hailet picha nzuri kabisa, awe anaconcentrate pia kuwackilza wenzake. kiongoz mzur ni yule alie tayar kuckilza mawazo ya wemzake pia

    ReplyDelete
  4. Mwanzoni nilikuwa namchukulia poa sana huyu dada kumbe bonge la leader,ver clever.sure upstears yupo safi sana.big up sarungi mungu aendelee kukupa akili zaidi.

    ReplyDelete
  5. Shez doing it...!!! Keep it up Mary!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad