Leo wakati Ccm wakidhani tuna tofauti kubwa sana na vyama vingine hasa Cuf, na walijitahidi sana kupanda chuki kati yetu. Na zaidi walijitahidi kuivuruga Chadema kwa kutumia mamluki, kumbe Kamanda wa anga anafkiria kitu kikubwa zaidi. Ametoka na plan B amabayo inawafanya Ccm warudi kwenye drawing board kupanga upya mbinu tofauti na hii ya mamluki. Kwa vyovyote sasa mbinu ni kuchonganisha huu muungano maana hauwezi kuwaacha salama.
Mchambuzi yoyote wa siasa anajua kwamba tukiingia kwenye uchaguzi kwa muungano huu Ccm watatoka jasho kweli kweli. Muungano huu utasambaratisha kabisa propaganda ya udini na ukabila, utasambaratisha propaganda ya uchu wa madaraka. Lakini italigawa taifa katika kanda ambazo ni rahisi kupiga kampeini kulingana na sehemu vyama vinavyokubalika. Itapunguza mzigo wa gharama maana utashughulikia eneo dogo kwa ufanisi.
Long live Kamanda Mbowe!
Apeleke makengeza take huko, anakumbuka shuka morning... Atachinaaaaaa
ReplyDeleteWewe juliana ,comment yako hii haiendani na elimu yako!
DeleteMBOWE NI MFA MAJI ANAE TAPATAPA KUJIOKOA KWA BOTI INAYOZAMA
ReplyDeleteNa mafisadi je?
DeleteHahahaha watajibebaaaaaaaa
ReplyDeletealuna plan B hy A ikuwap kuvaa kimgambo mgambo ana sera mbowefa maji anatapatapa huyo
ReplyDeleteHiv wewe mwenye jina la mwisho la kike usiyejulikana ni dume au jike mbona unawapenda sana mafisadi?
Deleteplan b aipeleke club bilicanas sio kwenye siasa
ReplyDeleteKamanda Mbowe kaza buti,usirudi nyuma,ccm chupi zimeanza kuwabana!
ReplyDeleteKiruuu gwanda lime bana na kuruka kama kitambaa cha Jinjaaa.
ReplyDeleteLimebana kama chupi yako hiyo ya kitenge!
DeleteHamna cha gwanda wala nini, mjipange upya la sivyo mtachimba kisima kwa vidole.
ReplyDeleteakili kichwani pako
ReplyDeletetatizo nchi yetu viongozi na wajinga wachache hawapendi upinzani wanauna kama ni adui wanasahau kuwa upinzani ni tofauti za kimtazamo mara nyingi unakuta lengo ni moja kumtoa mwananchi wa chini kwenye lindi la umasikini uliokithiri ukiangalia CCM sera ni hiyo upinzani pia sera yao ni hiyo hiyo tatizo linakuja kwenye baadhi ya viongozi siyo waaminifu kwa nchi yao ndo maana wananchi wengine wanaona wajaribu plan b ambayo ni upinzanu
ReplyDeleteUmeonaee!wabongo walio wengi si ma stupid!
DeleteJEMBE HILO!! MBOWEEE UKO JUUU!!
ReplyDelete