JAY Z KUTUMIA KIASI KIKUBWA CHA PESA KATIKA HONEY MOON YA SWAHIBA WAKE KANYE WEST

Jay Z ameripotiwa kumwambia rafiki yake wa karibu kuwa yeye na mkewe Beyonce Knowles na mtoto wao hawatahudhuria katika ndoa ya swahiba wake Kanye West itakayofanyika mwezi ujao jijini Paris Ufaransa.

Sababu za kutohudhuria ndoa hiyo zimeelezwa kuwa ni kutokana na tukio hilo kupangwa kuoneshwa kwenye reality show ya Keeping Up with the Kardashians.

Hata hivyo, chanzo kimeliambia gazeti la The Sun kuwa Jay Z amepanga kuwafanyia party kubwa baada ya tukio hilo itakayofanyika New York kwenye club yake ‘Club 40/40’ na kwamba amepanga kutumia kiasi cha  £100,000 katika honeymoon yao kama zawadi yake.

“Instead he's making it up to his mate by throwing him the most extravagant bachelor party known to man. It will cost a small fortune - and to top it all off, he's chucked a £100 000 yacht rental in there as a wedding gift as well.” Kimeeleza chanzo hicho katika maelezo yake.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha wenye pesa wafanye yao

    ReplyDelete
  2. Mmmmmh! Maisha haya!

    ReplyDelete
  3. Lakin mke wa kanye mzur jaman

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kim mkundu jamani...sura kama uchi wa nyani

      Delete
    2. KUMA WEWE NANA JR. WEKA KINEMBE CHAKO 2KIONE BAS SIO UNAPONDA TUUU... MTOTO KIM MZURI PUMBUJERO WEWEEE.. HUTAKI KALIA CHUPA, OVAAAH

      Delete
  4. Acha wivu ww, weka na ww sura yako tuione pyeee, huingiii ht mara milioni@Nana

    ReplyDelete
  5. Nana simsukule tu Yuko km vampire

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad