Akistorisha na paparazi wetu, Jini Kabula alisema hawezi kurudia tena jambo hilo kwani anaogopa kuchanganya damu kwa vile baadaye watoto wanaweza kuja kugombana na kukosa maelewano hivyo anamuomba Mungu atimize ahadi ya kuolewa ndipo azae.
“Nilizaa na Chuz kwa sababu tulikubaliana kuzaa tu na siyo kuoana hivyo kwa sasa nasubiri niingie kwenye ndoa ndipo nizae, sitaki kuwachanganya watoto wangu,”alisema Jini Kabula.
Malaya mna matatizo makubwa
ReplyDeleteMarkerting......
ReplyDeleteUyu malaya mbovu tabel kwel,almtapel shoga angu efu 70 yan anajangaa za ajabu kwe bongo movie hailip!!alipewa hela akamnunulie lotion anayotumia bi shost na sim akawa hapokei ..ataishia ivo ivo
ReplyDeleteNani atamuoa sasa mbona sraper! Hata kama ni k mmmhh hapo hamna
ReplyDelete