JUMA NATURE NYOTA KUBWA INAYOELEKEA KUZIMIKA

Daaah. Nakumbuka jamaa akipita mtaa wa Kongo watu walikuwa wanaacha biashara zao na kufunga mtaa, nakumbuka matamasha ya wazi pale mnazi mmoja, Coco Beach na Biafra Kinondoni yani alikuwa tatizo Juma Nature, mikoani ndio usiseme. Aliwahi kuonekana mkoani Kigoma yani wafanya biashara waliacha maduka kwenda kuangalia gari la matangazo alilokuwa amepanda Juma Nature.

Nakumbuka interviews alizokuwa akifanya Star TV, EATV na kwingineko, viewerz walikuwa wengi wakickia kipindi flani atakuwepo Juma Nature. Nakumbuka mkutano wa CCM Dodoma, watu waliacha kupanga foleni kumpungia mkono Kikwete na badala yake mamia kwa mamia walienda kusukuma gari alilokuwemo Juma Nature. 

Jamaa now imebak historia.

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho.Sio Juma Nature tu,kuna wakongwe kibao wameshapotea kwenye ramani ya mziki.

    ReplyDelete
  2. Mbona bado mkali tu

    ReplyDelete
  3. hata Diamond 2016 itakuwa kwishineeey

    ReplyDelete
  4. Kweli mnenikumbusha tiriririii tiririi ah inaniuma sanaaa

    ReplyDelete
  5. tatizo wanarizika ni tofauti na wanamziki wa majuu

    ReplyDelete
  6. nature yupo, na still yupo juuu
    manacho shidwa kuelewa ni hozo media zenu ambazo zinawapa airtime wasanii ambao wako tayari kulipwa 500000 kwenye show ya hata mil 30,
    nature ameamua kufanya yake peke yake pia yuko mbali na media zenu ambazo ziko kwaajili ya kunufaika kupitia migongoya watu..
    anaebisha kuwa nature bado yupo juu basi asubiri fiesta ya mwaka huu ndo utaona kisanga chake... msiyumbishe na media au mawazo ya mtu kwaajili ya kumshusha mtu...jamaa anapiga show daily sasa ameshuka vip! juzi kati katoka msumbiji kupiga show mbona hilo muandishi wenu hakuandikaa...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad