Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni
suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu
kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna
mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi
kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana
mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea.
Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda
serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi
haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa
kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa leo
katika kanisa la FGBF Dar es salaam.
Hata wewe unaupungufu. Usitupeleke tusipokua. Mungu ibariki tanzania
ReplyDeleteWewe huna akili kweli. Sasa Tanganyika na tanzania kwako kipi bora. Labda uwe ni mpemba au unakula kutokana na siasa. Usikojua ndo wapi, Kuwa Mtanganyika au. Kwani kuwa mtanzania unakujua au unafata upepo
DeleteSasa yeye amekupeleka wap ye si katoa mahubir kwa wafuas wake!wabongo wagumu kuelewa ila kwa kujifanya wanajua sasa.
DeleteHapo juu niliposema asitupeleke tusipokujua. Nilikuwa na maana tanganyika kama kipande cha tanzania tumekaa na amani na usalama. Kama kuhusu umaskuni hakuna proof yoyote kusema kama tusingejejiunga na muungano tungekuwa mbele kimaendeleo. Mimi ningependa pamaja kama tanzania tuwe na katiba ambayo itahakikisha kama taifa tunafanikiwa leo na kesho, sisi na watoto wetu. Pia nimesema askofu naye akiwa kama binadamu na yeye anaupungufu. Mimi ni mtanzania wa bara. Mungu ibariki Tanzania
DeleteHuyu jamaa biashara imemchachia
ReplyDeleteKila mwanadamu ana mapungufu yake, ila Nyerere katuuzia mbuzi kwenye gunia, na watu wanataka afunguliwe huyu mbuzi basi muuzaji hataki....patashika!!!
ReplyDeleteShame on u kakobe, badala uombee mambo yakawe saws unaisengenya maiti huna Ata haya kama Hilo bwege tundu lisu. Cku zote mlikuwa wapi mpk Leo hayupo kwenye uso WA dunia mnamsema, muogopeni Mungu. Ombea katiba ipatikane na sio unashabikia pumba we mbona mapungufu yako uyasemi
ReplyDeleteHiyo katiba yako kwa taarifa yako haiwezi kupatikana kwa njia wanazotumia mafisadi kupunguza vipengele ili waendelee kuwakandamiza walala hoi!amka sio unalala na siasa zako za jembe na nyundo!
DeleteNchi iwe ya majimbo,na wakuu wa majimbo wachaguliwe na wananchi,mapinduzi yakisha anza hakuna wa kuyazuia,,nchi nyingi zinashidwa kujiongoza kwa sababu ya udikiteta Mungu tusaidie tufikie pema.
ReplyDeleteAnony 8:22 umeongea vizuri sana, hata mimi nimekubali maneno yako, then ngoja niitikie AMIN
DeleteKakobe ameongea vizuuuri ila nyie INTARAHAMWE munajifanya hamumuelewi tanganyika kwanza tanzania baadae mbulula nyie musichoelewa nini kenge nyie.
ReplyDeletewe admin mpumbavu unacho aprove nn kwa hiyo unaowataka unawarusha hewani ucowataka unakalia mawazo yao pumbavu kabisa ww.
ReplyDeleteSafi sana askofu ktk poin ulizo zungumza hii nakuunga mkono kwa 100% wengi awajui maana ya sirikali3 na wanadanganywa na wana siasa na wtz walivyo mizigo wanashindwa hata kuelewa wanaharakat kwann wanataka serikal 3 wamekazania2 maon ya ccm
ReplyDeleteila watanzania hatuna elimu ya kutosha na la kama tungekuwa tunaelewa vizuri basi tungedai tanganyika yetu maana sisi hatujui tuko katika serikali gani, hatuna taifa si ndio tuko katika muungano tu but znz wenzetu watanchi yao tayari why tuendelee kubeba untili when
ReplyDelete