Hili Bunge la Katiba kwa kweli limefichua Mengi sana hasa kwetu sisi ambao tumezaliwa miaka ya tisini..Nilikuwa sijui kuwa Tanzania kuna mfungwa wa kisiasa. Zipo taarifa kuwa Abdu Jumbe, aliyekuwa raisi wa Zanzibar ni mfungwa akizuiliwa huko Kigamboni na hatakiwi kutoka wala kutembelea Zanzibar kwa kosa la kudai mamlaka kamili ya Zanzibar.
Kama huu ni ukweli basi huu ni wakati muafaka kwa Wazanzibari wadai kwa namna wanavyoona wao wanafaa uhuru wa mtu wao, aliyekuwa raisi wao na sasa yupo kizuizini nje ya mipaka yao kwa kutetea maslahi ya waliomchagua...
Mmmh kweli?
ReplyDeleteKhaaaa we siku zote hujui ndo nchi yako hii ilivyo msema kweli ndo Adui na Mchochezi
DeleteSawa
ReplyDeleteNdo manake. Chezea Juliasi wewe.!!
ReplyDeletehivi hawa wa znz wanaisaidia nn tanganyika zaidi ya kutunyonya tu kama wanataka znz yao basi waachiwe mpaka wanamfunga baba wa watu kisa kudai uhuru wa nchi yake
ReplyDeleteTundu Lisu alisema Nyerere alikuwa muongo na dikteta mkadai katukana.. je? Kumng’oa Jumbe madarakani na kudai eti kajiuzuru siyo uongo huo.. kumfunga kifungo cha nje bila kumpeleka mahalamani siyo udikteta huo.. sijui wabongo tunaumwa ugonjwa gani, kukataa ukweli na kubariki uongo.. au tumelogwa? eeh Mungu tufungue akili zetu
ReplyDeleteMzee Jumbe baada ya kusaritiwa na wenzake ndani CCM Zanzibar, hakufungwa,ila aligundua ukweli wa siasa kuitwa mchezo mchafu akajipumuzisha Kigamboni.Uamuzi wake uigwe na wazee wenzake wangatuke kukwepa aibu ya kutukanwa na wanasiasa wa kizazi kipya kisichotambu kwanini watanzania tunawaenzi NYERERE na KARUME.
Deletekwani yeye jumbe hajui ofisi za amnesty internation mpaka akubali kifungo sio halali? badilikeni nendeni na wakati hizo ni siasa wajinga ndio waliwao sitaki kusikia kitu siasa . kwa wajanja lakini.
ReplyDelete