KANISA KATOLIKI JIMBO KUU TABORA LADAIWA KUTAKA KULIPULIWA

Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Tabora ambalo limedaiwa kutaka kulipuliwa majira ya saa nne asubuhi ya leo baada ya kubainika kuwa mtu mmoja ambaye alifika Kanisani hapo na kutaka kumrubuni mlinzi kwa kumpatia kiasi cha shilingi elfu ishirini ili aweze kutekeleza dhamira yake ambayo haikufanikiwa baada mlinzi kutoa taarifa kwa uongozi wa Kanisa hilo ambao walitoa taarifa kwa makachero wa Jeshi la Polisi Tabora na kufanikiwa kukamatwa kwa mtu huyo.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Abanwe aseme walio m2ma muuaji uyooo

    ReplyDelete
  2. Wale wale wapinga ukristo watakuwa wanahusikia.mtawajua kwa comment zao watakapo anza.wanaita wenzao kafiri.sasa hivi dawa yao wakisumbua ukristo ni kuwagonga panga wasenge hawa wanachokonoa sana ukristo wakati hatuna shida nao sisi.hii misimamo mikali sijui inawasaidia nini hasa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kaka nakushauri kaa chini uzifuatilie hizi dini zote mbili ndo utagundua ukweli,uko wapi..Nakusihi kama binadamu mwenzangu huko ulipo sipo badilika kabla ujafa ndugu yangu Dini ya kweli Ni uislamu hilo halipingiki..Lakini huu Ni ushauri Tu wangu kwako.....

      Delete
  3. We ni kiumbe cha ajabu kweli, watu tumeacha uislamu kwasbabu ni njia hatarishi zaidi ndo kwanza we bado upo huko, hee pole sana

    ReplyDelete
  4. inawezekana kuna madawa au meno ya tembo kanisani

    ReplyDelete
  5. ingawa habari ni ya uongo lakini hata lingelipuliwa sio tatizo kwani lina faida gani, kama mna mnatamani yalipuliwe semeni sio mnatafuta habari za kinafki.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad