KENYA AIRWAYS WAMENUNUA DREAMLINER 6, ATC WANAKODI KANDEGE KA MOJA KA KWENDA MIKOANI KWA MBWEMBWE

Ndugu zanguni,

Jana wenzetu wakenya wameshuhudia historia mpya katika sekta ya biashara ya anga nchini mwao pale Rais wao alipozindua ramsi ndege ya Boeing 787 DREAMLINER. Ndege hii ni moja kati ya ndege sita ambazo wameagiza kutoka marekani. Na sasa jumla wana ndege kubwa 45.

Wakati huo huo, Air Tanzania wamekuja kwa mbwembwe na matangazo kibao kuwa wamekodi ka ndege ka abiria hamsini ka kwenda mikoani.

Tuweke siasa pembeni tuongelee uhalisia, ni kwa nini ATC wanashindwa hata kuungana ubia na mashirika makubwa ili na sisi tuonekane? Ni aibu kuona tundege twetu hatuwezi hata kwenda Zimbabwe tu. 

Hawa wenzetu hawanunui bali wanakopa, kwa nini na sisi tusikope? au hatukopesheki? hata used? 

BA wamekatisha safari za moja kwa moja Dar hivyo KQ na Swis Air ndio wamechukua soko ambalo kama tungekuwa na uwezo hilo lingekuwa soko letu kubwa. 

Inawezaje Precision air iwe na ndege nyingi kuliko ATC ya serikali? Watalii wote wanaokuja nyumbani wanapanda ndege za kuunga unga tu wakati kama tukiamua tuna uwezo wa kuwa na direct flights from US na Europe kuja home.

Kama mjuavyo, kwa sasa tumekuwa tunapendwa na kila mtu kwa sababu tuna gesi ya kumwaga, hivyo inabidi tutumie mwanya huu kuongea na hao marafiki wa sasa kutusaida na sisi tuwe na mapipa makubwa ya kwenda nje ya nchi sio hutu tu debe twa kwenda mwanza tu. Tuwaombe watukodishe kama hawataki kutuuzia. Hata tukiwa na jumbo mbili tu za kwenda masafa marefu tutakuwa tumemaliza kila kitu

Wivu sina, ila karoho kanauma sana...

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata km wivu unao ni wivu wa maendeleo inaumiza sana kuona viongozi wetu walivyo wababaishaji tu. Wamekalia ujinga wa kulipana fadhira bila kuangalia nani anauwezo na kz.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ngoja niendelee kubeba box Qatar kuliko kurudi tz kuishi.ntapita kusalimia nakusepa viongozi wetu kazi Yao Kula tu matumbo karibu yanawapasuka kwahela za walipa kodi.yaani mungu atawalaani viongozi wote mnaoshiriki kuimaliza nakuifilisi Tanzania.mfe tu nasema mfe tu kama kuku wenye kideri tumewachoka

      Delete
  2. unachoongea hapo kaka ni swala jema. viongozi wetu wanaangalia maslah yao wenyewe, na famili zao
    na unyonyaji umekithili, ila mi najua akiingia kiongozi mwenye wivu wa maendeleo na nchi, haya yote yatakwisha. chagua kiongozi mwenye uchungu na wananchi, na si bora kiongozi.

    ReplyDelete
  3. kiongozi bora ni yule anaeangalia maslah ya nchi na wananchi wake. viongozi wa kenya hata wale washauli wa raisi wanauchungu na nchi yao, ndo maana wapo hapo walipo leo.

    ReplyDelete
  4. tununue ndege badala ya kujinufaisha sisi na watoto wetu itakuwa ngumu. Ubinafsi unaimaliza hii nchi na si kingine ubinafsi tu na tama ya hela na hata siku tukinunua tutaenda kununua screpa na kuambiwa ni ndege mpya itapaa angani siku itakayoletwa tu baada ya hapo itabaki kuwa makumbusho ya taifa kwamba na sisi tuliwahi kuwa na ndege. This is very sad so sad. Mungu iponye nchi yangu Tanzania maana Baraka umetupa nyingi sana vivutio vya asili, bahari, mito, maziwa, gesi asilia, madini karibu aina zote za madini tunazo but yet
    tunaongoza kwa umaskini. Tunahitaji uponyaji tu hapa na si kingine.

    ReplyDelete
  5. Tanzania sekta zote zime-paralyse kwa uganjwa mbaya uitwao ccmmonia.Dawa yake ni chademaquine 2015.

    ReplyDelete
  6. Ata ethiopia nchi yenye dhiki na umasikini mkubwa lakini wametushinda, tz is fuckin hell inauma sana kuona nchi yangu inayo uwezo mkubwa lakini hatuna ndege za masafa marefu tukisafiri tunalipa maela kibao kwa nchi zingine. Huu ni upumbavu wa serikali

    ReplyDelete
  7. Ukisikia nchi ya viongozi wanao fikiria kwa kutumia matako ni Tanzania, haiwezekani hata vichwa vya treni tunaomba vilivyo tumika wenzetu wananunua Ndege sita kwa mpigo kuma make. Madini yapo, mifugo ipo, Samaki tunao, Siasa tuuuuuuuuuuuuu kuma nina sana inauma sana. Inabaki tu Serikari mbili, oooooooooooo fulani analeta ushoga nyi wasenge nini baada ya kuongelea maendeleo mnaleta usenge,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani mtu wangu umeongea point sana nakupa tano wamekalia uwongo na wizi tu nakulangua bidhaa zote wana ten pacent ila za mwizi zake arobaini

      Delete
  8. CCM oyeeeeeeeee!!!! Mikundu yenu saa hizi ndo mna ona serikali yenu imelala?yaani watanganyika bado sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wenae nikati yawale wenye matumbo yaliyowambwa mtapasukasana matumbo.hatuna chama sie tunazungumzia maendeleo nenda kwenye kampeni zenu zakitapeli hapa pumbavuuuuuu

      Delete
    2. Hiv huyo nae ni kichaa au?yaan kuna mijitu kama hii ambayo yanawaza siasa tuuz na hiyo siasa huijui nin maana yake sasa hapa tunazungumzia maendeleo lijitu lina kuja na mada za kisenge ccm imekusaidia nin kimbulu wew?ccm waongee kina riziwan fredy lowasa benny sitta ally rostam we baba yako fundi kench nan atakujua maskin wew!

      Delete
  9. kwa hilo tanzania tunataia aibu .hata ukitoka nje ya nchi .ukitaka kurudi hakuna tanzania shirika ndege watu tunadandia ndege za nchi nyigine ampaka hata rwanda inatushinda kwa ndege .achene ubabaishaji serekali ya tanzania mtabebwa mpaka lini na undugunazetion .watu wakipewa madaraka wanataka kuuza kila kitu kwenye famalia yao mpaka kuwagawia wake zao mali za nchi za tutakika kweli?.

    ReplyDelete
  10. Huu ukiritimba ni uongozi mbovu. Na haya Yote ni kutokana na siasa za nyerere. Wasizozitaka. Kuzibsdilisha. Kila siku katiba inasema hivi mara vile arimladi wawaumeze raia na maendeleo ya nchii hii. Alafu wai kutwa kuibia nchi. Jasho la sisi wanchi na makodi. Wanajaza mifukoni mwao. Wao na familia zao. Na kutwa na mikataba Hewa na uongo kibao. Wa mikataba mibovu. Hii mjitu imezaliwa humuhumu. Tanzania lakini haima uchungu wa maendeleo na nchi yao. Tanzania imejaliwa sana kwa taslimali. Lakini ujinga wa sisi wafrica. Unakera na kuudhi kweli wa hawa viongozi vipofu. Wasiojiweza. Na uelewo wa mambo yanaendaje

    ReplyDelete
  11. Aisee' hlo swala la kisingizio cha katiba'inasema hv' mara sheria imekataza serikal kununua mitumba'mara serikal haifanyi biashara' kiongoz mkubwa akiiba eti sheria inasema hv'mara ana kinga' hatutaendelea kamwe'mpaka tupate kiongoz mtemi' kwa viongoz wenzie vinginevyo bd tutaendelea kushika mkia

    ReplyDelete
  12. mimi nilikuwa naomba tutawaliwe tena kwani kujitawala tumeshindwa na shida zimezidi. maana vilivyo achwa na wakoloni ndio vilivyopo mpaka leo na kuviendeleza tumeshindwa. sijui akili mkunduni au kulushindo? hata hii gas haitomsaidia mwananchi ipasavyo. rail, hospital, quality ya elimu, quality ya maisha yoote kufaaaaaaa.

    ReplyDelete
  13. Nishasema sn na kujadili khs hii nchi na mali zake!na aikusaidia kitu na pia haya matusi hayatasaidia kitu!ila nitafarijika na nafsi yng.Wasenge kuma mamae zenu viongozi wote mnaohusika kuitokomeza hii nchi!!!!!!!ila hipo cku mtafurahi tu mbwa nyie.Tumechoka wtz nchi hata maji ya kunywa amna si upumbavu huwo!!!!!

    ReplyDelete
  14. Upumbavuuuuuuu mkubwaaa.eti viongozi mxiiiiioouuuuu........hovyoooooo tuwapige mawe hadi wafe hawa.

    ReplyDelete
  15. hivyo ndivyo wanavyomuenzi mt.wao nyerere ambaye utawala wake unaodaiwa ulikuwa wa uadilifu na uwajibikaji wa juu. Timu aliyoiacha mt. haijawahi kuonyesha uadilifu wala uwajibikaji wowote iliosifiwa nao enzi za mt. Sina hakika kama kweli hayo yalikuwapo na kama yalikuwapo , haya ya ufisadi, ubinafsi, kukosa uwajibikaji na uadilifu ndiyo matokeo yake? mtoto wa nyoka hawezi kuwa wa mjusi au kenge, mtoto wa nyoka ni nyoka yule yule

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad