KIKWETE AONYESHA JEURI YA JESHI LA TANZANIA LEO, MAADUI WAJIONEA

Mwenye Macho haambiwi Tazama hakuna siri Leo kila rangi maadui wa nchi Na Rais wetu hawajaacha kuoona.

Vijana wamekamilika kila idara in a modern and newly Technology.

Watu msiojua,mjue Tanzania sio nchi ya mchezo katika Ulinzi.

Tunapenda amani Na upendo Na majirani.

Lakini atakayethubutu kutubeep,hatutasita kumtwanga.

Viva Kikwete,
The true Hero in an innocent land of Mwalimu Nyerere.

The Nation is proud of you son of Africa.

The Valley and the Greenland sings Your remarkable,achievement in every aspect.

We adore and Love you,

Longlive Jakaya
Tags

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Only this one tank,kuja Kenya ujionee

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha wewe, malizana na Al-shabab kwanza, uliza m23 kule congo wataeleza wewe..

      Delete
    2. mna nini cha kutuonesha huko kenya?

      Delete
    3. Hawa wakenya ni wapuuzi sana ndio maana kila siku wanashambuliwa, ulizia Congo huko M23 wanaliaje! Usalama wenu mbovu ndio maana mnabutuliwa tu, fyata domo lako kama kapu la bibi!!!

      Delete
  2. We Kenya a cha ushamba rais wenu
    wenyu mwenyewe ametii

    ReplyDelete
  3. si amemuonyesha kagame kama yuko fiti.

    ReplyDelete
  4. Pamoja na yote yanini vita nduguzanguni hapa mshanza weww kajinee kenya na huyu wee raisi wenu mwenyewe ametii, sisi wote ni ndugu tupendane tukae pamoja na kupendana kwa amani avina faida hivyo vita, maendeleo ndio yenye faida bandugu, tupiganie maendeleo. huu ulimwengu tu na mambo yake

    ReplyDelete
  5. Ushamba mbaya sana wewe mbongo... Museveni ana Sukhoi new generation, bongo bado wanafly mig za 60s. Hivi kweli hivyo vifaru vilivyozeeka ni vya kuonyesha barabarani?
    Na kibaya zaidi unaambiwa hayo malori yalikuwa biashara ya watu, siyo malori specially for military....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama ulikuwa hujui, hizo mig zimefanyiwa marekebisho na zinatumia engine za kisasa ambazo Marekani ndio anaendelea kuzifanyia marekebisho za kwake, knot 560.

      Delete
    2. Hizo ni variant na sio za miaka ya 60 ni variant ambayo ni emproved, 1,189knot, bwege we huyo sukhoi mwenyewe haoni ndani. weka sifa za hiyo sukhoi na mimi nikupe sifa za mig variant

      Delete
    3. Sukhoi max speed ni mach 1.8 while J7 2.0 hapo sukhoi haoni ndani

      Delete
  6. usizungumizie vifaa zungumzia uimara wa jeshi coz unaweza kua na vifaa nabado ukadundwa2 ktk east afrika nzima tanzania ndo ilioya na jeshi imara ukibifa nenda google utapata majibu usifanye mchezo na jeshi la tanzania ulala hoi..

    ReplyDelete
  7. tunatisha.....ila dahhh zile ndege sidhani hata kama waloiotengeneza bado wanazo, ndege iko chalinze dar tunaisikia mlio khaaaaa

    ReplyDelete
  8. Eti kenya ushuzi mtupu na bado alshaabab wataingia hadi ikulu kwa huyu uhuru

    ReplyDelete
  9. m ninachona sasa ni kumpongeza sana sana rais kikwete kiukweli kaliweka jeshi vizuri vifa mpaka watu wake ni tofauti na marais wote wa 3 waliopita kiukweli anastahili pongezi sana nikikumbuka miaka ya nyuma jeshi hata mavazi tu yalikuwa walalahoi ukiangalia buti simechoka za toka miaka 50 iliyopita bun now we are proud

    ReplyDelete
  10. nina shangaa nyinyi wapumbavu kama hamna cha kuandika kaeni kimya.....stupid,senselesss humanbeing.

    ReplyDelete
  11. isiwe sababu ya sisi Watanzania kutaka vita!!

    ReplyDelete
  12. Tz tuko vizuri kimazoez ila vifaa no hewaaaa kabissa! Sijaona kifaa cha maana hapo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad