Mheshimiwa Rais wa JMT akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari mwandamizi kutoka Nation media group aliulizwa swali je anategemewa utawala wake kukumbukwa kwa yapi ,Jk alijibu kama ifuatavyo:
- The Tanzanians will decide but I consider ky term of office as a time of scalling up.We have scaled up on roads,on construction,on education,on health,and many other things. It is Tanzanian to judge but my biggest satisfaction is that we have done a tremendous job in the road infrastructure,expansion of primary and secondary education.
- We had only 40000 students in universitu,now we have 180000,which is phenomena,we had 525,000 secondary school now we have 1.9 million.The important thing I want Tanzanians to appreciate is that I have made conttibution.I found them.somewhere and I leave them somewhere better than they were before when I took office.
tutaendeleakumkumbuka mwl nyerere siowewe
ReplyDeletetutaendeleakumkumbuka mwl nyerere siowewe
ReplyDeleteAtakumbukwa kwa mchango wake kuwa Vasco Dagama. Kwa rais aliye mtalii kushinda marais wote duniani.
ReplyDeleteHongera sana MH RAIS. Ni ukweli halisi nakumbuka nilimaliza form six na dvision one lakini nikasota kwa miaka mitatu kwa kukosa chuo. Baada ya kuingia wewe nikapata UDSM na hivi niko kwenye ajira serikalini. MUNGU AKUBARIKI SANA
ReplyDeleteTutamkubuka kwa kuwa ni kiongozi anayesafiri sana kushinda kiongozi yeyote duniani
ReplyDeleteNitakukumbuka kwa introduction ya div 5. Na div 0 zilizovunja rekodi katika utawala wako.
ReplyDeleteSijaongeza chumvi ila nimesema ukweli tu
We upon juu pamoja sana
ReplyDeletemnaye mponda jakaya naona bado mpo aalogy kama hamyaoni ambayo kayafanya
ReplyDeletehakuna jipya wabongo tulikuamin sana lkn bora tungeweka hata jiwe
ReplyDeleteTutakukumbuka kwa kuwa wew ni ris pekee wa Tz uliyeweza kupiga picha na 50 cent na boys 2 men!
ReplyDeletehehehee!!
ReplyDeleteMaraisi wa TZ woote ni majambazi wa aina moja au ingine ukiwemo na wewe. ila wewe ni unique unauma na kupuiliza sio kama walio pita wanauma tu maana kazi umifanya mwenyewe nimeona infactructure umeweza kilicho baki uongeze security tu watu tusiwe na woga hata usiku wa manane.
ReplyDeletekuna mahali kakosea kama mwanadamu
ReplyDeletelakini kuna mahali kafanya vizuri.
Nivyema unapo comment uzingatie hayo ili utende haki