MAASKOFU 32 WAUNGA MKONO RASIMU YA WARIOBA KAMA ILIVYO
10
April 21, 2014
Katika salama za pasaka viongozi wa dini wa katoliki 32 wamesema maoni ya wananchi katika rasimu ndio msingi wa katiba hivyo wamewataka wajumbe wa bunge la katiba wa yaheshimu kama yalivyo wasilishwa na jaji warioba bungeni,wamesema wajumbe wa tume waheshimiwe kwakua taasisi zote,mtu mmoja mmoja na makundi mbali mbali ya kijamii yalipata nafasi kupeleka maoni yao mbele ya tume ya warioba,hivyo wanapashwa kuheshimu rasimu hiyo iliyo beba maoni ya wananchi hakuna haja ya wakuidharau tume iliyo undwa na watu makini na wanao heshimika katika taifa letu
Tags
Hao nao ni uamsho?
ReplyDeleteTukisema sisi wanasema tunataka kuvuruga Amani ya nnchi yetu na hatimaye muungano kuvunjika hay a sasa na hao maaskofu 32 wanataka Amani ivunjike? We need to look forward guys at this moment.we also need to focus in our develop.every things has its time and this is the right time 4 change of our consititution
ReplyDeleteHivi hawa maaskofu wanajua maana ya rasimu? Kama wanataka iachwe kama ilivyo basi isiitwe rasimu
ReplyDeleteWamesema maoni ya wananchi yaheshimiwe mbona umekaa kishabik na kinafikinafik sana!
DeleteTatizo lenu nyie mnahamasisha vurugu.
ReplyDeleteWewe ndo unaelewa maaskofu hawaelewi. Sasa cjui unaamua nn
ReplyDeleteNIMEIPENDA KAULI YA KAKOBE YA KUIRUDISHA TANGANYIKA.
ReplyDeleteNIMEIPENDA KAULI YA KAKOBE YA KUIRUDISHA TANGANYIKA.
ReplyDeleteTuombe amani, hili swala la katiba nalo liishe tumechoka kusikia kitu ambacho ni kwa maslahi ya wananchi kinazingua muda wote huo, sisi wananchi ndio waamuzi na maamuzi yetu yaheshimiwe, ila wabunge wenyewe kazi mipasho tu, kama ndio hivyo hivi kwanini wabunge wa katiba visichaguliwe vikundi vya taarab kama Jahazi, zanzibar stars, east african melody, five stars, tot taarab, dar modern na vinginevyo???
ReplyDeleteRasim ya katiba aliyosoma Warioba ndo mpango mzima, npo pamoja na Askofu Kakobe na maaskofu wote, Tanganyika yetu jaman. Y hiyo ccm inakomaza shingo kwa ajili ya ujinga! msicheze na watumish wa Mungu jaman
ReplyDelete