MADUKA YA WATANZANIA SOUTH AFRICA YACHOMWA MOTO-WADAIWA KUUZA UNGA

Afrika Kusini ni nchi yenye uchumi mkubwa Afrika ambao umevutia Waafrika wengi kukimbilia huko kwa ajili ya kufanya kazi kama za Udereva, uuzaji mafuta kwenye vituo vya mafuta pamoja na kazi nyingine mbalimbali.
Taarifa kutoka kwenye mji wa Pretoria ni kwamba Watanzania ambao wanamiliki na kufanya biashara mbalimbali zikiwemo za Maduka na wale wanaomiliki hoteli, wamevamiwa wakiwa kwenye mali zao na kufanyiwa uharibifu na nyingine kuchomwa moto.
Ni kundi la watu ambalo linaendeleza uvamizi huu ambapo linawashutumu Watanzania hawa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, yani kwa ufupi Watanzania wanasema hata kama kweli wangekua wanafanya hii biashara, walio na mamlaka ya kuwavamia ni Polisi na sio hao raia.

Inaaminika kundi hili lina sehemu kubwa ya madereva Taxi wazawa wa nchi hiyo ambao wamekua wakiumizwa na jitihada za raia wa kigeni wa Nigeria na Watanzania ambao wamejazana kwenye mtaa wao wakimiliki maduka mbalimbali yakiwemo ya nguo pamoja na hoteli.
Tayari balozi wa Tanzania amekutana na Watanzania hao na kuahidi kulifatilia ambapo ni Watanzania watano wamejeruhiwa wakiwemo watatu ambao bado wako hospitali na mmoja wao kavunjika mkono, mmoja kapigwa kichwani.
Kabla ya Watanzania wengine kuwahi kufunga maduka yao, maduka matatu ya Watanzania pamoja na hoteli mbili zinazomilikiwa na Watanzania zilivamiwa na wakachuchukuliwa simu na watu kupigwa ambapo polisi walipokuja hakuna chochote kilichofanyika zaidi ya maelezo.
Picha hizi zote zilipigwa na Mtanzania akiwa anakimbia baada ya kufanikiwa kufunga duka lake.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumanina zao wasije kwetu wasenge haramu hawa kwani walikatazwa nao kuwa na maendeleo. Wasenge pori kabitha.

    ReplyDelete
  2. Kwanza wanatiwa wamekuja morogoro tumewasaidia sana wamekaa hapa bongo ila wanaleta usenge kwa sisi ndio tuliwambia wagombane kwao watanzania faita bwana shule hatuna lkn watoto wa mjini

    ReplyDelete
  3. Tena hawa ni mikundu hasa.

    ReplyDelete
  4. panya hao km issue nikuuza unga c nawao wauze mchele? mbwa kabisa!!

    ReplyDelete
  5. This is very bad

    ReplyDelete
  6. Poleni ndugu zangu wa synside,hawana lolote hao huo niwivu wa maendeleo....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad