MAKOSA YA KAKOBE KUMWANDIKIA BARUA RAIS KIKWETE HAYA HAPA


Wewe kama mtumishi wa Mungu hukutakiwa kuandika barua ikulu kwa sababu zifuatazo
kwanza kabisa kama mtumishi wa Mungu mzoefu ulitakiwa kukaa chini na kufikiri kabla ya kuandika
Pili unamuandikia barua mtu Ambae mna Imani tofauti  katika kufanya kazi zake
tatu unajaribu kupigana vita ya kimwili wakati watumishi wa Mungu mnatakiwa kupigana vita ya kiroho

wewe ni Mtumishi wa Mungu wa muda mrefu sana,tangu nakua nasikia jina Kakabe,umekosea sana na imetokana na kiburi chako cha kutomshirikisha Mungu

ulitakiwa kufanya nini?
ulitakiwa kuongea na Mungu kama kweli wewe ni mtumishi wa Mungu
una uwezo mkubwa sana hapa duniani kuliko Kikwete na waliomzunguka
umeshindwa kujitambua kwamba una mamlaka wala huitaji kujiingiza kwenye upuuzi
una uwezo wa kukamata nguvu za giza anazotumia Kikwete wa wajinga wenzake kupitia ulimwengu wa Roho
ukifunga na kuomba na kumweka Kikwete mbele za Mungu ungeona matokeo
UNGEPATA NAFASI YA KWENDA BUNGENI UNGELETA MABADILIKO GANI?
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana lolote huyo kakobe we mwache anamchezea mungu atayapata anayoyatafuta...

    ReplyDelete
  2. Wewe mwandishi naona utakuwa shoga.umekuwa nani wewe umchambue kakobe.wenye nchi wamemuacha na maakama zipo ila wameshindwa kumuhukumu wala kusema kakosea zaidi wamenyamaza kimya.wewe na nyege zako mkunduni unamnyooshea kidole na kuja na analysis za kishoga.viongozi hawa wa kidini awe mkristo au muslims kumchambua kwa mtizamo negative ni kuleta matatizo ya kidini.ikulu walishampuuza ww ndo unajua sana sio.kafirwe ulale

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tuma salam..

      Delete
    2. Natuma salam kwa yule dada yako niliemzalisha nikamwacha.na pili natuma salam kwa dem wako yule wa Mwenge nimemwambia asinifate mm nimezaa na dada yako ila hasikikii.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad