Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa Twitter unaweza kuicheki hapo chini……
MANCHESTER UNITED YAMTIMUA NA KUMRUSHIA VIRAGO DAVID MOYES
2
April 22, 2014
Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa Twitter unaweza kuicheki hapo chini……
Tags
Kingreza bwana!! Kwa hiyo LEFT ndo maana yake kutimuliwa na kurushiwa viragO....
ReplyDeleteMimi dioniz kutoka sengerema kuondoka kwa david moyes nimeshukulu ila angeodoka azabu ya vimboko 12
ReplyDelete