MAPATO NA UTAJIRI WA IRENE UWOYA WAZUA UTATA
8
April 24, 2014
Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so lazima liendane na Mali ninazopata.....
Tags
mali zipi????
ReplyDeletemh
ReplyDeletemali zako au za mabaasha zako ? nani asiyewajua nyie bingo muvi mtaji mwili
ReplyDeleteNapita tu
ReplyDeleteUsimponde mtu coz yuko,ukiona amekuzidi fight for..nawewe utapata..wabongo bwana majanga!
ReplyDeleteWasanii wa bongo dili yao kuu ni viongozi wa chama tawala mambo yakigeuka tuu utaona maporomoko.
ReplyDeleteWasanii wengi wa hapo bongo mitaji yao ni viongozi mafisadi wa chama tawala, ila siku mungu anatupatia wachapa kazi serikalini watajuta.
ReplyDeleteMapoooooooowder
ReplyDelete