Stori: Musa Mateja
MENEJA wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda amekiri kuwa kumsimamia ‘kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu kwani ana tabia ya kubadilika.
Alisema Wema anahitahi hesabu kwani kuna vitu unaweza kupanga naye lakini akashindwa kutimiza kutokana na hisia zake binafsi.
“Kuna wakati unaweza kumwambia usitoke hadi nikuruhusu lakini cha ajabu unakuja kushtukia mwenzio yupo mtaani jambo ambalo hamkukubaliana, ni ngumu we’ acha tu,” alisema Martin Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi.
GPL
Hayo mambo ya ku- menejiana wanawez kina Paris Hilton tu... kibongobongo HELL NO!
ReplyDeleteWe matin utammeneji madam eakati we nikibalaka hauna ela fara kashone nguo ugokoo wee Tim eddymage
ReplyDeleteWewe anony 4:07 chuki imekujaa unakurupuka kuandika kama umefumaniwa, rudi darasani ukajifunze kuandika
ReplyDeletei love wema.
ReplyDeleteukitaka kujua KADINDA ana hulka zipi.....mtege akiwa INTERNET CAFE..akikisha pc aliyokuwa anatumia..uitumie wewe..UTAKACHOONA ALIVYOKUWA ANATAZAMA....UTAAAAMINI
ReplyDeleteWe nawe mmbea umejuaje?
ReplyDelete