Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. Kupitia mtandao wa kijamii Elizabeth Michael "Lulu" ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki.
Kupitia mtandao mmoja maaruffu wa kijamii, Lulu ameandika
"Bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala kukusikia baba, Ninaamini bado tupo nawe kiroho na ninaamini zaidi nasfi yako huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania. Inaweza kuchukua miaka na miaka kukuelezea. You still live in me daddy and you are dearly missed. R.I.P daddy yangu."
Daddy! au Baby yako!
ReplyDeleteHahaaaaaa mdau juu nimechekasana u made my day kwakweli
DeleteHuyu nayye angetulia had kesi iishe au ndiyo anakusanya heka za kujitolea dhamana
ReplyDeleteMnafiki huyu anataka asamehe kesi msonyooo
ReplyDeleteMnafiki huyu mtoto
ReplyDeleteanafikiri ile kesi imekwisha................ mjinga
ReplyDeletemungu atakusaidia acha ya walimwengu
ReplyDeleteDady Baby?
ReplyDeleteUmalaya wa utotoni ndo ulokufikisha hapa lakini kosa ni la mamako kaanza kukuza na miaka 12 shame on her
ReplyDeleteKuma kubwaaaaaa nishamtomba
ReplyDeletedaah watu hamna ubinadam so mlitaka aandike nn?lulu Mungu ndo mtetezi wako;na yeye ndo anajuwa ukweli wa kila kitu;
ReplyDeleteNyokoooo
ReplyDeleteUcjl my dia lulu Mungu yu pamoja nawe atakupigania
ReplyDeleteDaddy au baby mbna unazngua watu
ReplyDeleteUlitiwa na Baba yako au ujui maana ya Daddy au alikua analamba na kwa mama safi now we know
ReplyDelete