Mgombea Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.
Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye hamfahamu majira ya saa sita za usku akiwa katika nyumba ya kufikia wageni ya Goodtime Chalinze.
"Nimevamiwa na kujeruhiwa na mtu ambaye simfahamu ahsante uongozi wa chadema kwa kunisaidia,"alisema Mgaya.
Mgaya amesema ameumia mikononi wakati nikipangua nakujitetea mvamizi alikuwa na panga. Mbali na yeye pia amesema pia kiongozi wa Chadema, Mwita Waitara naealijeruhiwa kwakuwa alikuwa moja ya watu waliokuwa wakimsaidia.
ccem i kitu!
ReplyDeleteNa bado watakumaliza halaf wanajifanya wanakusaidia shaur yako!
ReplyDeleteNdio ukome kugombania madaraka. Waachie wenyewe wenye nchi
ReplyDeleteHahaha
ReplyDeleteAPF kirefu chake nini?
ReplyDeleteHiyo hotel haina ulinzi mkuu?
DeleteInayo ..tena ulinzi wa kutisha
DeleteJimbo la Chalinze si linafahamika ni la mtoto wa __________.Wagombea wa vyama vingine acheni kugombea coz mtapoteza uhai wenu bure... Acheni wenye nchi waitafune nchi wapendavyo sisi tutafute mkate wetu wa kila siku kwa kujiajiri...
ReplyDeleteUmesema kwel mdau hapo juu!
ReplyDeleteKaka waachie wenye nchi, utakufa kabla ya siku zako, ccm mbwa koko wasio na huruma, pole sana dogo
ReplyDelete