MILIONI 13 ZAZUSHA TIMBWILI LA HATARII,WEMA NA KAJALA NGUMI NONDO NJE NJE WAPAMBE WAO WAINGILIA KATI.

Stori: Imelda Mtema na Musa Mateja

NI shida! Zile shilingi milioni 13 alizotoa Wema Isaac Sepetu kumlipia msanii maarufu wa sinema Bongo, Kajala Masanja asitupwe gerezani, bado ni tatizo ikidaiwa kuwa sasa ngumi nje nje.
JINA LA MILIONI 13 ZA WEMA
Kwa muda mrefu sasa, Kajala amekuwa akitukanwa kwenye mitandao ya kijamii hasa matusi ambayo hayaandikiki huku akipachikwa jina la ‘Milioni 13 za Wema’ na kuahidiwa kichapo.
Kwa mujibu wa watu wa karibu wa Kajala, staa huyo hana raha wala furaha kwani ishu hiyo inamtesa kila kukicha.

Ilidaiwa kwamba Kajala ana mtoto mkubwa aitwaye Paula aliyezaa na prodyuza wa Bongo Records, Paul Matthysse ‘P Funk’ ambaye anajua kuingia kwenye mitandao hiyo hivyo kufedheheshwa hasa anapokuta mama yake akiitwa fuska wakati yeye anamheshimu.

KUNDI LA TEAMWEMA
Ilisemekana kwamba Wema ana kundi linalojiita TeamWema ambalo memba wake wamekuwa wakianzisha mada mbaya kuhusu Kajala wakimhusisha na uporaji wa aliyekuwa bwana wa Wema, Clement au CK.

Ilifahamika kwamba shinikizo kubwa la kundi hilo la Wema ni kutaka Kajala arejeshe fedha hizo ndipo mambo yakae sawa.

“Anamdharau sana Madam (Wema) wakati ndiye aliyemnusuru, sasa hivi angekuwa jela. Kama ana fedha kama anavyotamba basi arudishe milioni kumi na tatu twende sawa,” ilisomeka sehemu ya maoni ya TeamWema kwenye ukurasa wao wa kijamii wa Instagram.

Kuna madai kwamba kumekuwa na mtafutano kati ya kundi la Wema na lingine jipya linalodaiwa ni la Kajala.

TIMBWILI KLABU
Kwa mujibu wa shushushu wetu ndani ya Ukumbi wa Maisha uliopo Masaki, Dar, wiki iliyopita, usiku wa manane, wawili hao walikutana ndipo kukatokea timbwili huku jina la Milioni 13 za Wema likiendelea kutajwa mara tu Kajala alipoonekana ukumbini hapo.

Habari zilidai kuwa wawili hao walianza kwa kushindana kumtuza Snura Mushi aliyekuwa akifanya shoo jukwaani ndipo wapambe wao wakaingilia kati na ‘kuinunua kesi’.
Ikadadavuliwa kuwa tukio hilo lilichochea kundi la Wema kuanza vurugu huku lile la Kajala nalo likijibu mapigo.

KAJALA NDUKI
Hata hivyo, ilisemekana kwamba baada ya Kajala kuona hali inazidi kuwa mbaya alitumia busara kwa kutoka nduki lakini kundi hilo la Wema lilizidi kumfuata hadi kwenye gari lake wakitaka kumdhuru.
“Kuna watu walimfuata kabisa hadi kwenye gari na wengine walikuwa wanatafuta mawe walipopoe gari lake lakini Mungu mkubwa hawakufanikiwa,” alisema shuhuda wetu.

BOFYA HAPA KUMSIKIA KAJALA
Baada ya kunyaka habari hiyo, gazeti hili lilimtafuta Kajala ambaye alidai kuwa yeye hakushuhudia tukio hilo lakini akakiri kuwa hana uhusiano mzuri na Wema.
“Mimi kwa upande wangu sina tatizo na Wema lakini natukanwa sana bila sababu. Sijui nimemfanyia nini kibaya.

“Narudia tena sina tatizo na Wema halafu siyo yeye anayenitukana au kunisakama, ni kundi linalojiita TeamWema. Sina uhakika kama yeye ndiye anawatuma.

“Kuhusu milioni 13, sasa nitazirudishaje wakati hakunikopesha, alinilipia bure? Hata sijui kama nikizirudisha nitakuwa sahihi? Sielewi lakini kama ni matusi, kweli natukanwa sana hadi mwanangu anaona ninavyoitwa malaya,” alisema Kajala kwa uchungu.

Alipoulizwa kama yupo tayari kupatanishwa na Wema, Kajala alisema yeye hana kipingamizi kwani yupo tayari wakati wowote ili aishi kwa amani.
Gpl

Post a Comment

41 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema usikubali kupatana na mnafik huyo. Waaombe hiyo teamwema waache kumtukana mana kwel si vizur kwa mwanaye. Kaa mbali naye kabisa yaan bora mchawi kuliko mnafiki. Hiyo 13m ipotezee. Wema unalipwa na Mungu hakuna binadamu awezaye kulipa huo wema na huyo Kajala nadhan analitambua hilo. Andikia ujumbe hao team wema waache kabisa kutukana yaan kwa kifupi mpotezee. Najua una wema mwingi oama jina lako lilivyo. Uzur mjini hauwezi kuumbuka kwan hata ukiishiwa kodi kwan mama sepetu kakufukuza nyumban. Tulia mdogo wangu. Malipo ni hapahapa duniani akhera kupumzika tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yn my wema mimi km team wema. ..don't try kajala ni mbwaa tena asie na heshima. .hakuna cha kupatana aende kwa malaya wenzake penny na wolper wakajiuze

      Delete
  2. kwanini Kajala asijifiche, akae underground kwa kama miaka mitano hivi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Atawezea wapi na msingi wa maisha yake kiuno. Yaan bora hata angejipumzisha awe anamaubir huyo mumewe gerezan had atoke hiyo ndiyo ingekuwa heshima. Ila yeye kunusurika kuwa jelajela ndiyo karud kwa kasi kwenye umalaya na skendo za jiji. Yaan mm nadhan yy mwenyewe pia matendo yake asipoangalia yanaweza kumwaribu huyo bint yake. Pfancky kaxhukue bint yako at least malezi utakayompa yatakuwa yana msingi wa kifamilia. Uko kwa mamaye anakuwa na yeye kama kahaba.

      Delete
  3. Ushoga wa mjini kazi mimi sina shoga zaidi ya chupi yangu na mamangu mzazi overrrr

    ReplyDelete
  4. Woote wasenge mnao comment ujinga hapo

    ReplyDelete
  5. Rudisha pesa za watu Jajala la wanaume kahaba ww

    ReplyDelete
  6. Hamjui utu Ni nini

    ReplyDelete
  7. Blackbeauty Arusha7 April 2014 at 11:03

    Mtoto mzuri umenifurahisha kweli nakuunga mkono mpnz hata me cina rafiki aisee ushoga mjini ni majangest, me nimetendwa sn na marafiki yani nimemuachia Mungu kwakweli

    ReplyDelete
  8. Maisha yakutaka kujionesha matokeo yake ndio hayo! Wema kama Wema anayo mapungufu yake ndio...ila Kajala umechemsha aisee! Waswahili husema usiache mbachao kwa msala upitao. Kajala wewe wakumrusha roho Wema Sepetu kweli!!!?? Kweli binaadam sisi tumeubwa na sahau, leo wewe Kajala umesahau fadhila!! Kila la kheri my dear...kuhusu Paula, uliyataka mwenyewe kumuweka karibu na mitandao ya kijamii, hayo ndio malipo mamaa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sijui angebaki jela angemrusha wapi roho, hata kama wema kamuudhi alitakiwa kukaa kimya akafanya yake, sio kumsema kila kona na kuchukuliwa mabwana zake na kutembea nao kajala shame on you, ushaharibu

      Delete
  9. Wema ajaribu kujiepusha na uyo m2 Kajala keshakuwa na maadui wengi uyo mumewe sidhani km anafurah na khabar zake lktokea jambo mm utakuwa mtuumiwa no.1

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwel ksbisa wema kaa mbali

      Delete
    2. Kaa mbali huyo tayar ana maadui wale watu aliowatapeli akishirikiana na mumewe na pia mumewe na familia yake sidhan kama wanafurah kijana wao yuko ndan halafu limwanamke lilosababisha wizi liko nje linakula raha. Kaa mbali wema anything can happen to huyo malaya ukaambiwa ni ww

      Delete
    3. Nendeni police cc hayatuhusu.

      Delete
  10. Rudisha hela ya watu" Pumbavu! I hate you"""

    ReplyDelete
  11. Mbona snura waliacha ushoga na wema sijawah msikia akimsema or kumrusha roho zaidi anamshukuru kwakumlipia studio jamani K atakama amekukosea lkn auto km ww Sehemu ulomfikisha jamani inauma!

    ReplyDelete
  12. SISI YANATUHUSU NINI ?

    ReplyDelete
  13. nyie team wena wote wasenge,sasa mnataka kajala amsujudie wema mpk ln??ye alitenda wema na ukitenda wema nenda zako ucngoje shukuran ndo aendreee,lov u kajala upo juu ndo mana ana haha kukushusha achana nae

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio amsujudie kumuibia clement wake si unafiki huo na kumsema vibaya kila kona angetulia kimya basi

      Delete
  14. Hv kuna wena umu?! Ahahaaa kamtanganze kajaia kwa mazuri anayotenda!

    ReplyDelete
  15. Swala siyo kumsujudia wema uyo jogoo wa kuchora kajala Asubir Arobaini zake anasafiria nyota za wenzie yuko juu kwa lp?mumewe kamuacha magereza kazi kudandia wawenzie

    ReplyDelete
  16. Laana ya mumeo itakuangaisha sana tuu malaya mchafu wewe mumewe yuko jela we unakazi ya kujiula shame on you pua kama embe

    ReplyDelete
  17. Ila kajala nikesikitika kusikia umedai talaka kwa mmeo ilhali yupo gerezan bado ..ulitakiwa uwe nae kwa kipindi hichi kigumu...utalaaniwa ujue.hizo hela ulizonunua gari ungejikusanya hata ukahonge mukeo atoke kajala..this is not fair kwakwel kay..kua utu walau kwa mumeo jaman.umakula bata mmeo yuko jeeeela??????.alfu huon haya kupost pic na caption dad ake,mara bby ake muogope mungu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo ndiyo mjue huyu ni kiumbe wa aina gan nadhan jina linalomfaa ni jalala

      Delete
    2. Kashalaaniwa na mumewe huyu jalala kuu la taka kwani hao wanaume alonao mmewaona hawatazamiki lazima anywe chuma ya vodka kabla ya kufirimbwa laana kum wewe

      Delete
  18. Wema kanakas na nyie mnaetoa comment na team Wema team kjl wote kumamazenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mama yako anakizibo nini?? Lol

      Delete
  19. kuma zenu nyie mnaojihita team wema

    ReplyDelete
  20. mna kazi team wema ndiyo nn au anawalipa maana mnanunua ugomvi wa shost yake atujui wameshibana kiasi gan je wakupatana je maana wema yupo kimya izo pesa zinawauma mlitaka awape cjui du mna kazi sana yan

    ReplyDelete
  21. maana povu za mdomo zina watoka kisa wema who is wema alitoa pesa kwa kajala ili apate umaalufu na iyi team yake ajui kusidia mtu mwisho atataka amchambe akinya maana badala ya kushukulu Mungu kumpa moyo wakusaidia anataka kuabudiwa km iyo team yake hahahaha pileni wapendwa kwa muda wenu kuanzisha kundi la kumuabudu binadamu mwenzenu nakutoa hukumu kwa kajala

    ReplyDelete
    Replies
    1. mkundu wako wewe hapojuu tena sio bure unamapungufu,,mikundu bata wote mnaomtukana wema aka wemarohoo ya watu siku zote ukifanya mema lazima upendwe,maskini mkubwa hasitiriki tena malaya chipukizi kuma kubwa kama mguu wa tembo bibi umenyea kambi tenaaaaa,,,,huyo kajala anaishi kiwiziziwizi tu paka mapepe la jiji usiesitirika ukasitirika watu wanagombana na kuachana kiroho safi sasa wewe mapepe kwenda kumrusha roho na magubegube ukaona sifaaaaaah nyooooo nasema TABAKI KULA MAKOMBO YA WEMA MPAKA MNAKUFA MBWA KOKO NYIE,,,tena msubiri tena wema aachane na diamond mumchukue kwa sababu kila anapokula wema nanyie mnataka mnayapenda sana makombo ya wemakuma nina zenu ...hiyo mikundu yenu itiwe super glue nahisi ndo mtatulia ....

      Delete
    2. Ndiomaana ukajiita mtambo mchachu sihuna akili team wema wengi arv's znawapelekesha

      Delete
  22. kuma na wema wenu nyie mnaliwa nn

    ReplyDelete
  23. Wema senge na team lako

    ReplyDelete
  24. Senge mikundu ya baba zenu wafilwaji.

    ReplyDelete
  25. Duuuu ! Me napita tu ila ayo matusi km amna wazazi aaaggghhh!!

    ReplyDelete
  26. Kajala mdogo wangu hebu mlipe wema hZ hela sake uishi kwa amani siamini km mko diff kumbuka akufaae kwa dhiki ndie........ Malizeni tofauti wema nawe tenda wema uende zako biff LA nini mwachie Mungu

    ReplyDelete
  27. HALOOOOOOOOOOOOOOizo 13m wema alipewa na Clement akamlipie Kajala...tenaaaaaa

    ReplyDelete
  28. priiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! team kajala naingia<jaman peoplezzz same timez tuwe 2na2mia akil,kwan kujitolea kuna mkataba? so kajala haruhucw kuwa na ampendae et ksa alikua anatoka na aliyemsaidia? achen uswahil jaman,kwanza nawashangaa mliopoteza muda wenu ambao mngeweza kujiingizia rizki na kwenda kumuandama mtoto wa mwenzenu inahusu?mambo ya wema na kajala cc haya2husu,2waache wamalizane wenyewe mbona wao ye2 hawayajuiiiiiii?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad