MKE WANGU ANANIZIDI AKILI NA MBINU..KUTWA NZIMA NA SIMU, YUPO KILA SOCIAL NETWORK

Ndugu zangu nahitaji msaada wa mawazo. 

Mke wangu sasa ananizidi akili na mbinu. 

Nilimnunulia smartphone ya bei kama laki 7 aina ya Samsung, yapata miezi minne sasa tangu awe nayo. 

Kinachoniumiza sasa hivi kazi zote ni mschana wa kazi.

Yeye hapiki, hapigi deki na hafui, muda wote yuko bize na simu yake. 

Pia amejiunga social networks zote kama twitter, badoo, facebook, whatsapp, tango, we chat na instagram na nikitaka kupigana naye basi nimuombe pasword zake, hapo yupo tayari kurusha ngumi. 

Usiku analala saa saba na akichelewa ni saa 6 usiku.

Yupo bize. nampenda sana na nahofia kumpoteza. Jamani nifanyeje? Vita nyingne ni pale anapoishiwa pesa ya bando, yani anadai pesa ya vocha kwa lazima mpaka nitaitoa. 

Mitandao yote aweweka profile picture nzuri na tena Mungu alimjalia uzuri kama kabla lake Wairaq (wambulu) walivyo.

Anapotaka kubadilisha profile picture hapo ndo naumiaga zaid sababu anajimek up na kutoa nguo zaidi ya 5 na anavaa moja moja huku msichana wa kazi anampiga picha tofauti tofauti na yeye huangalia ile aliyopendeza.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahaha jamani nana wamuache sio mzima

    ReplyDelete
  2. Wewe nana mpuuzi unashidwa kutoa ushaur unaandika pumba

    ReplyDelete
    Replies
    1. si mumuachem, mwisho hakuna ushauri inabaki nana nana who is she is this world

      Delete
  3. unamuendekeza mwenyewe usipompa bando atakufanyaje dume hovyo we ndo kichwa cha familia unajinyea nyea kalale mbele tukupe ushauri gani kama mke mkeo wewe

    ReplyDelete
  4. Kwani !!!??? we ndito hapo umeshauri nini? N.J akitulia mnamtafuta akiandika mnamchamba nyie wasenge kweli, nana andika kile roho inapenda

    ReplyDelete
  5. Huyo mke wako, ni kama mie, TU, yaani umenigusa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad