MTU ALIYE ANGUKIWA NA ROLI LA MCHANGA JANA AKIWA NDANI YA GARI MZIMA AMEUMIA KIDOLO TU



Huyu Jamaaa Ana Bahati Sana Aliangukiwa na Roli likiwa na mchanga kama picha inavyoonyesha hapo juuu ..lakini jamaa katoka mzima kabisa..kidolo tu ndio kimeumia..Nilivyoona hii picha ya Ajali kwa mara ya kwanza sikudhani kama driver atakuwa kasalimika....Mungu Mkubwa

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dah mungu mkubwa wanadamu mbwembwe tu!

    ReplyDelete
  2. mungu ahimidiwe kwa kumuokoa kijana huyu

    ReplyDelete
  3. mungu amusaidie maisha malefu wanadamu wacmpitemo yao amina

    ReplyDelete
  4. Daaaah afadhali niliumia sana ka ndugu yangu vile!!

    ReplyDelete
  5. Mungu anakupenda kama kulikua na mabaya badilika mungu ana mpango na wewe. Trust me

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad