MUONEKANO MPYA WA MWANAMUZIKI K-LYIN AMBAE KWA SASA NI MKE WA MENGI


Mwanadada K-lyin Akiwa katika muonekano mpya...Wazungu wanasema Ame Go Blond Sijui ...Mweee...Amependeza au La?

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ANAMTIA TU AIBU MZEE WA WATU LOL ! AENDANE NA MZEE WAKE AACHE UNAZI !

    ReplyDelete
  2. UKIOLEWA NA MZEE NA WEWE UNATAKIWA UONEKANE KIZEE ZEE SIO KICHANGU CHANGU

    ReplyDelete
  3. mimi sijapenda kabisa hicho kitu sijui nani kamdanganya kama katani bwana
    hajapendeza kiujumla
    kwa maoni yangu

    ReplyDelete
  4. Anatokaga chicha ila hapo big nooooooo,sio kila kitu lazima mtu uige

    ReplyDelete
  5. Mtabakia kusema hajapendeza hapo bby wake ndo kafika

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau nimekupendajee km mr wake kakubali aweke hiyo basi we kiazi ninani hata useme pyeeeeee mtasemasana klin Kula mama ujiwekee na akiba iliutese mpaka uzee.wanaochonga waache wachonge tu kama kawaida yawabongo kubwabwaja

      Delete
  6. amezidi kuwa modo viguu km fimbo

    ReplyDelete
  7. Hatujaulizwa kuhusu bby wake tumeulizwa style muwe unaelewaga maswali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti "Beby wake" tehe tehe....bebi nani? Mzee Many nae bebi!! Duh amakweli uzee mwisho Chalinze mpaka Daraja la ruvu.

      Delete
    2. ndiokashaweka sasa style endeleen kuchonga tu jaq Kula nchi naukitoka hapo weka zakijani

      Delete
  8. Ndo hivyo bby wake kaipenda stlye wa nje hayawahusu tulizeni kiraru na mambio yasiyoyawahusu we suka yeboyebo zako mwenge chapa lapa

    ReplyDelete
  9. noumaaaaa xana!

    ReplyDelete
  10. walewale div5,elewa mada then comment unaweza suka yeboyebo na kutoka chicha sio mikatani utafikiri tupo Tanga @ anoy 2;45

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata bei yake huijui naukiijua utapiga chafya mfululizooo

      Delete
  11. Umependeza sna dada achana na maneno ya walmwengu awaish kulopoka,utofaut nd mzur kubuni

    ReplyDelete
  12. baby wa mzee machache umetisha

    ReplyDelete
  13. Isssue sio bei je cha bei kimempendeza,unaweza vaa cha book ten ukatoka chicha....tupunguzeni ulimbukeni kha,tuelewe nn tunaulizwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nawe nilimbukeni km silimbukeni umefwata nini hapa OSHA uso Toa tongotongo urudi kwenu dodoma fyakwaaa in Nigerian voice

      Delete
  14. Chezea watu na akili zao weyee...kaona vijana wanazingua kajieka kwa mtu anarjielewa anajiliaa vyake...nyie mwacheka huku mwafa njaa mwenzenu maela anachambia tu

    ReplyDelete
  15. Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachopenda, angetupia Nicki Minaj mngesema amependeza ila mbomgo mwenzetu tunamponda, AMEPENDEZAJE!! Tupia na bluu, raha sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwita umenifurahisha sana.mijitu inaponda tu wakati haielewi kitu.jus wewe unaona hajapendeza kuna wanaoona kapendeza,nae kajiamini kajiphotoa tu kama hivyo sasa endeleeni kutoka povu mnaomponda.likitoka Hilo litakuja lakijan hlf la blue

      Delete
  16. ha ha ha hata ingekuwa minaj angekula za uso vile vile kama angekuwa hajatoka chicha so muwe mnajitahidi kuelewa umeulizwa nn division 5 hazitoisha kwa style hii,kwani anachovaa minaj lazima kisifiwe?hii ni team ukweli na uwazi ni kupeana tano pale anapostahili na kumweleza anapochemka watanzania tuache sifa za kijinga sifa zenu ndio zinazofanya kizazi kijacho kuwa wajinga kila kitu eti umependeza lol badilikeni.

    ReplyDelete
  17. Hahahaha i dint know about this kweli wanawake ni pesaa tuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad