‘Nilitaka kuifanya na mwenzangu nikamwambia tumekua wapenzi lakini sasa yahitaji tuwe ndani ya ndoa akasema twenzetu tukaongozana mpaka kanisani padri akasema hamuwezi kuoana nyie mnajua hata ndoa ni nini?kuna hatua’
‘Siyo kitu ambacho tulitaka kufanya kama watu wengi wanavyofanya ile kukaa kuchangishana kwa sababu mimi rafiki zangu wa karibu wote walikua block nisingetaka kufunga ndoa halafu mwisho wa siku tuanze kununiana kuwa huyu hajachanga yule kachanga chapili nilitaka kufanya ili niendelee na maisha yangu kama mtu unapoamua kufanya birthday’
‘Wazazi walipata taarifa mwishoni kwa sababu hata mzee katika risala yake maana tulikaa kwenye meza moja baada ya ndoa mzee akasema mimi sijui nakupa zawadi gani maana umeniambia jana tu,kitu tulichofanikiwa ni gauni la mke wangu maana ni gauni la gharama nashukuru Mungu lilitupa stress mwanzo lakini liliwahi’.
Bora yako na Bongo yetu hii ndo ungekua habari ya mjini watu wangeingiza pesa bila kulitolea jasho
ReplyDeletehongera na watu wengine waige mfano kutoka kwako, kwa kuwa usipochanga watu wanacomplain kama huna unafanyaje, bora tujiandalie wenyewe kama birthday, mwenye zawadi haya asiye na zawadi to hel, hongera bwan
ReplyDelete