MWIGULU ASHAURI RAISI ATEGUE UTEUZI WA WAJUMBE WALIO SUSIA KIKAO CHA BUNGE

Ukawa walipanga njama tangu mda mrefu kukwamisha mchakato wa katiba ili wapate agenda za uchaguzi mwaka 2015. Fedha hizi tunazotumia zingewasaidia maskini kupata elimu, dawa na huduma zingine. Mwigulu anaomba muongozo kwa mwenyekiti, ili rais atengue uteuzi wa wajumbe aliowateua wa bunge la katiba ibaki wale wa kuchaguliwa ambao maamuzi yapo chini ya wananchi.
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. siasa ni kiini macho

    ReplyDelete
  2. Anaumwa nini shenzi type


    ReplyDelete
  3. hatuwezi kufika hata wanasiasa ni dhaifu

    ReplyDelete
  4. limeibuka tena!

    ReplyDelete
  5. Huyu mwigulu ukimwangalia ki undan ni mtu mmoja mbaya sana kwa taifa hili!yaan amefanya siasa kama simba na yanga kwa ushabiki yaan!kama wanawaonea wananchi huruma kwa nin wasizilete yale mabilion yaliyowekwa USWIS?mnafik mkubwa huyu mchumia tumbo amepewa hicho cheo na mafisadi kwa kupotosha kauli za maana za kuijenga nchi hii za wabunge wa upinzan yoote haya anafanya kwa ajiri yake banafsi na familia yake!wa Tanzania amken kumkataa kiongoz kama huyu asiye mzalendo na nchi hii!mingu yupo na atapigania maskin walio wengi wanaokosa huduma muhim za jamii huku yeye na familia yake wakipata matibabu nje ya nchi!hawezi kuwajal zaid hapo anaangalia ugali wake kama baba wa familia na sio kiongozi!ndio viongoz wetu walivyo.eti anajiita CHE GUEVALA wa TZ!guevala hakuwa kama yeye fisad mchumia tumbo na mnafiki.

    ReplyDelete
  6. mwigulu acha utoto,kwanini siku zote mnapenda kupindisha ukweli

    ReplyDelete
  7. UKAWA komaeni hivyo hivyo mtuokoe watanzania 2015!! eeh Mungu wabariki UKAWA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad