MWISHO MWAMPAMBA AULA APATA KAZI KITUO KIPYA CHA TV


Aliyekuwa mwakilishi wa mara mbili kutoka Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Mwisho Mwampamba ataonekana hivi karibuni kwenye kituo cha runinga cha TV1 kama mtangazaji.

Kupitia Instagram, TV1 wameweka picha hii ya ya baadhi ya wafanyakazi wa TV1 akiwemo Mwisho na kuandika; Guess who’ll be next as #TV1Host #tv1tanzania #comingsoon #tvproduction #tv #tanzania #africa #daressalaam #mikocheni #studios #set

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naomba utuwekee hii story huku http://www.williammalecela.com/2014/04/habari-zaidi-za-mbebez-wa-kibongo.html?m=1

    ReplyDelete
  2. hongera mwisho..love mwisho mingi mingi..

    ReplyDelete
  3. alivyo chizi atatangaza kweli huyuo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad