Kati ya vitu ambavyo husaidia kuongeza thamani ya msanii katika macho ya mashabiki ni pamoja na watu kuona akipata dili kubwa na kulipwa pesa nyingi katika shows.
Lakini kumekuwepo baadhi ya wasanii ambao wakati mwingine hutengeneza mazingira ya uongo hasa kupitia mitandao ya kijamii, na wengine hata kufanya na Interviews ili tu kufanya watu waamini kuwa thamani yao pia iko juu.
Mzungu Kichaa yuko tofauti kidogo katika hilo, sababu haoni sababu ya msanii kudanganya kwa kitu ambacho sio kweli. Msanii huyo wa Denmark aliyeishi Tanzania kwa miaka mingi alizunguzungumzia swala hilo katika kipindi cha Sporah.
“Mimi siwezi kwenda kwenye vyombo vya habari na kusema ooh nimetengeneza milioni 100 kwenye show halafu media zote ziseme ‘oooh wow’…kama alivyofanya Alikiba kipindi fulani” Alisema Mzungu Kichaa. “Alisema alikuwa anataka kwenda kufanya show Ujerumani, na alikuja kusema ameahirisha kwenda, tena aliahirisha siku moja kabla, na kusema kuwa angelipwa shilingi milioni 100…Kwahiyo akadai kwamba alikuwa anapewa hiyo hela lakini mikataba haikwenda kama ilivyotakiwa so aliahirisha show siku moja kabla, na kama mwanamuziki mimi najua jinsi mambo ambavyo hua yanakuwa, siamini watu waliokuwa tayari kumlipa kiasi cha pesa kama hicho…na kwa wao kutafuta media publicity kupretend we are getting big money to perform nadhani hilo ni kosa.” Alimaliza.
Kuma we rudi kwenuuuuuuuuh!
ReplyDeleteKisimi we mzungu poli nyakibumbu
DeleteGuys let b serious jamaa anachokisema ni kweli kabisa huwezi tafuta publicity kwa uongo otherwise let b honest watanzania some artist hapa ni waongo na wasanii WA maisha kwani the way wanavyojipamba sivyo walivyo ki hali halisi.misiba mingapi inaumbua watu,wasanii wengi wanapenda matangazo na kujikweza kuliko ukweli.@halima kimwana anahama kwao bondeni mwananyamala kukimbilia kuwa mpambe WA diamond,huwezi kataa show kama hyo kila rahisi kama alivyodai ali kiba.tuna kitaa wengi tu kazi kudandia offer
DeleteSawa matusi ya nn na yeye anarekebisha kauli za wasanii wetu za uongo
ReplyDeleteacha usenge,mzungu kichaa noma...nilishamuona kwenye shoo moja ya akudo impact mwaka 2008.du anaruka kama chura.
DeleteNana nakupenda nipe email yako
DeleteDuh kaka, umeanza kupenda wehu na vichaa tena???
DeleteYes jamaa anajua na anajua jinsi ya kuliteka jukwaaa.much respect u cant b bored na show zake
DeleteUpuuzi tu matusi yenyewe yote ya zamani halafu wanaotukanaga always wana stress,ugumu wa maisha hawez kutoa comment mpaka mitusi.
DeleteWasanii acheni uongo,kwani uongo unakuumbueni muda si mrefu as you are kioo cha jamii na ukweli unajitokeza katika jamii,so what is this for?,,,,Kuwa wa kawaida tu ili jamii ije kurecognise yenyewe mafanikio yako bila kudanganya kisha ukaumbuka,,,,,,KWANI MIFANO YA WENZENU WAONGO HAMUIONI??? ndo huwo ushauri wangu,,"Kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza"
ReplyDeletemwambie akarekebishe kwao hapa 2tarekebishana wenyewe, ally kiba noma anatafuta kick
ReplyDeleteMzungu K Ally Tunamuamini Zaidi Ya Sana Hana Tabia Kama Wasanii Wengine
ReplyDeletehuyu muzungu ni muse-musenge hawezi kutafuta kick kwa ally k bora ata kwa domo
ReplyDeletehuyu mzungu ni matako kumaaa
ReplyDeleteAcheni kutukana kasema ukweli kabisaaaaa
ReplyDeleteNyie mnaetukana ndo makuma mmekariri ma2c wasenge nyie m2 akisema ukwel mna2kana au Ali Kiba anawafira nn achen usenge kuma nyie
ReplyDeletehuyui nzungu kasema kweli huyo kibatari wenu nani atampa milioni mia? ni sawa na euro hamsini elfu huko kwenu afirika. wakati akina chinga toka duniani wakija ntoni kwa azizi ali wanaambulia $15000. msimponde zeru huyo anaona mbali mmezoea kupelekwa.
ReplyDelete