NAPE: CCM ITASHINDA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 94 UCHAGUZI CHALINZE‏

Nape amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na Changamoto za miundombinu ya barabara kutokana na mvua ambazo zinaendelea kunyesha nchini kote, jambo ambalo linaweza kuchangia wagombea kushindwa kuwafikia baadhi ya wananchi katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo, Nape ameongeza kwamba hata hivyo chama hicho kitashinda kwa asilimia 94 katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6 Jumapili ijayo.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kati ya vijana ambao siwapendi tz nape unaongoza, yaani we mtoto unjifanya unajua kila kitu, elimu yenyewe mbovu unabebwabebwa tu, msenge sana we mtoto

    ReplyDelete
  2. Ccm wasenge tu, hamna lolote pambafu zenu wote

    ReplyDelete
  3. Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe ccm moja wapo ni mti wenye matunda.

    ReplyDelete
  4. Chalinze ni jimbo la ccm, nenda mwanza, mbeya, iringa mjini uongee upumbavu huo wewe nape, kama hujachambia panga, ndo hapo utapima akili ya nape night mkundu, etiquette ccm itashinda chalinze kwa kishindo chalinze? Yaani unalipwa hela kwa kuongea pumba hizo?

    ReplyDelete
  5. chalinze bado elimu ni ndogo, na umasikini mkubwa, kwahiyo ccm lazima ishinde!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad