NAY KUMUOA SIWEMA KABLA YA KUJIFUNGUA

Stori: MAYASA MARIWATA

MWANAMUZIKI Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema yupo kwenye mikakati ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Siwema baada ya kumtundika mimba.

Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Nay alisema anajivunia kukaribia kuitwa baba na kizuri ni kwamba msichana aliyempa mimba alikuwa na ndoto za kumuita mke wake hivyo ndoa itafungwa kabla ya mtoto kuzaliwa.

“Kikubwa naomba Mungu mipango yangu iende kama nilivyopanga kwa sababu nataka kabla mtoto hajazaliwa tuwe ni wanandoa tunaotambulika kwa Mungu kwa kufunga pingu za maisha,” alisema Nay.

Akizungumzia kubebeshwa mimba na msanii huyo, Siwema aliliambia Ijumaa: “Najisikia furaha sana kumbebea mimba Nay, tumetoka mbali naamini ndoto yetu ya kuoana itatimia siku si nyingi.”
GPL

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa ndoa itafungwa vipi bwana mkrito bibi muislamu hakuna ndoa hapo uzushi tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. nini maana ya ndoa za serikali???? na je kama kunammojawapo kaamua kufuata dini ya mwenzie?? msipende kuponda kila kitu angemwacha kwa kisingizio cha dini bado mngeponda. Big up Ney fanya maamuzi acha na ukapera na ujitahidi kubaki njia kuu.

      Delete
  2. We tako hapo juu hujui kama kuna ndoa za za serikali..?

    ReplyDelete
  3. Wap cwema kahaba wa mwz na mashuga Dady wanaokueka min umewaacha wap ...unaenda kumdanganya kaka wa watu loh

    ReplyDelete
  4. Ukishakuwa baba ujiheshimu uache matusi nakula ujana pia uache.

    ReplyDelete
  5. congrats Ney na Siwema, hilo ni jambo la neema mwombeni Mungu awapiganie mfikie lengo lenu. nawatakia kila la kheri.



    ReplyDelete
  6. Mzee wa kata k. mjengoni cku yenyewe vp!?

    ReplyDelete
  7. Nana j mbona kimya, vip?

    ReplyDelete
  8. Siwema malaya anauza k huku mwanza eti gari kanunuliwa na ney wa mitego wakati ni otieno jaluo ndo kanunua nyooooo

    ReplyDelete
  9. kumbe nay nalo kuma tu ujaona wengine kahaba ilooo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad