MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein ameibuka wiki hii na kuanika kwamba, Agosti mwaka huu Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu watafunga ndoa
Akizungumza na Amani jijini Dar es Salaam juzikati, Hassan alisema amepiga mahesabu ya kinyota kwa wapenzi hao na kubaini kuwa, Agosti ndoa yao itafungwa mahali popote nchini Tanzania.
Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote
“Lakini nawapa angalizo muhimu, wakae wakijua kwamba kama ndoa hiyo haitatimia Agosti kutokana na sababu zao wenyewe, haitafungwa tena hadi mwaka 2016, kwa sababu lazima ndoa yao iwe kwenye mwaka unaogawanyika.”
GPL
basi sawa sie twaisubiri
ReplyDeleteWema bado hajajitambua, Dia anamtumia ili musiki wake uende vizuri na amfundishe kingereza vizuri, baada ya hapo atamtupa huko na kuchukua king'asti kingine, ndipo atakapotelekezwa akiwa hana biashara hana pesa na ustaa wote kwishnei na ndipo majuto yatakapoanza. Wacha muvi iendelee ikifika mwisho hana pa kushika.
DeleteJamaniii we mtabiri usimpe presha halima kimwana bureeee,penny ndie atafunga ndoa....Yuko tegeta anasubiriaaaa,ila chief kiumbe nae anajilia vyake,duuu bongo maisha magumu,
ReplyDeletePenny Huyo chief kiumbe Si Wa mboni show?Ebu acha mabwana za watu,hivi huwezi tafuta bwana mwingine?Kipindupindu kikiibuka aponi mtu,shenzi zenu.
DeleteAhahha shehe uyu bwana saw tusubili
ReplyDeletetunasubiri hiyo move iendelee
DeleteWewe so called sheikh sijuwi maalim. Haifai kidini ya kislam kutizama kama wajuwa sana mbona usitazame mambo yako ukatubainishia. Ajuwae kesho kipi kitatokea ni Mwenyezi Mungu pekee usijivishe taji lisilokuwa lako
ReplyDeleteSHIRKI SHIRKI SHIRKI............................................................................... AUDHUBILLAHI!
ReplyDeleteUsituzingue wewe mtabiri huna lolote hakuna mwenye uwezo huo zaid ya Allah wizi mtupu
ReplyDeleteKabisaaa mdau kula tano,bin Adam Hana mamlaka ya kesho ni ubatili mtupu.Mola pekee ndie hajuaye hatma ya mja wake.
Deletengoja tuone
ReplyDeleteNdiooooooo
ReplyDeletekwa raha zenu
ReplyDeleteKweli watu mnawapend Diamond na Wema.
ReplyDeleteWAPIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII UONGO MTUPU
ReplyDeleteaaah kwa hyo wameziiin halafu ndo wanataka kuoanaa wiz mtupu'
ReplyDeleteWE UMEZINI MARA NGAPI?
DeleteMungu pekee ndio ajuaye kesho ya mtu.
ReplyDeleteHapa ndo mnaniudhi sana kila siku diamond,sepetu nyie nataka kweli.,hamna jipya.
ReplyDeleteKm vipi ukiona habari zao we potezea
DeleteWacha movie iendeleeee tunaisubilia
ReplyDeleteHajakosea huo ni utabiri tu wala hajasema lazima itokee.Muwe waelewa wadau.
ReplyDeletesawa! lakini mtabiri naona unataka kumpa presha halima! oo
ReplyDeleteMdaku tuwekee video ya mfanyakazi wa precision air akiliwa tigo live
ReplyDeleteDuuu ipo wapi hiyo video?
DeleteIngia instagram mdau
DeleteTuwekee wengne hatuna habari na insta
DeleteKila siku sikendo za Diamond na wema wakati mtaani kuna vitu vingi vyakusema
ReplyDeleteC ndo watoto wa mujini lazima wapambe habari!
ReplyDeleteKINYAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteTungoje matokeo ili tuongee.
ReplyDeletepenny atalijuwa jiji......................acha move iendeleyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeletenimegunduwa kitu bila WEMA NA DIAMOND magazeti haya nunuliwi .
ReplyDeletePata habari mpya mpya za udaku na skendo kwenye mtandao huu Udaku
ReplyDeleteCwapendi hawa wa2 mm basss tu.
ReplyDeleteKwaiyo kama uwapendi cc 2kucaidiaje labda!
ReplyDeleteHakuna dhambi kubwa ambayo Mungu anaichukia kama shirki na hii Ni moja katika shirki..Ndugu yangu nakuomba uachane na Hilo mungu si WA kutaniwa badilika sasa ndugu yangu kabla umauti haujakufika maana usitake kuingilia mamlaka ya mungu...yeye Pekee ndo mwenye kujua la siri na dhahiri...
ReplyDeleteBE RICH WITH JUST A VISIT TO THIS WEBSITE
ReplyDeletehttp://cashnjob.com/index.php?refer=109808