NEY WA MITEGO AJITOKEZA NA KUJIBU SHUTUMA ZA KUMTEKA MSICHANA
1Udaku SpecialApril 29, 2014
April 14 zilizotoka taarifa juu ya kutekwa kwa msichana mmoja aitwae Neema ambaye ni miongoni mwa watu wanaosemekana walimtukana Ney na Mpenzi wake kupitia akaunti zao za Instagram,Neema alipatikana na kuzungumzia hii bahati mbaya Ney hakuwa nchini aliporudi Soud Brown kaongea nae na hiki ndicho alichokisema. Bonyeza play kusikiliza.
nay tulia my dear
ReplyDelete