NI SHEMEJI YANGU KABISA MKE WA KAKA YANGU, ILA UTANI WAKE UMEPITILIZA

Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeju yangu nyumbani kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.

"haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini" nikamuambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi akasema wala usijali mume wangu leo nina bongo la zawadi yako, mi nikajua utani
bwana aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu mara tu nikasikia ananiita shemeji njoo huku tayari nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji. heehh nikamkuta amevaa nguo moja fupi ya ajabu akaniambia ngoja nikuonyesha mambo ninayompa kaka yako akaanza kukaa style tofauti tofauti pale kitandani za kusisimua, kweli nilishindwa kumuelewa nikamuuliza shemeji huu ni utani pia au uko serious. akaniangalia tu machoni halafu akaendelea. Nilivyoona vile nilifungua mlango nikatoka. akaaniita kwa hasira mi nikarudi chumbani kwangu nikalala. Sasa namuonea hata aibu kumuangalia shemeji yangu. Hii ni sawa kweli wadau..!!
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Si sawa hata kidogo muepuke huyo shemeji yako ata kugombanisheni wewe na kaka yako kuna kitu kadhamiria huo si utani kama ni utani umepitiliza tena mchane live kuwa huja furahishwa na hicho kitendo aache mala moja la sivyo utamwambia mme wake

    ReplyDelete
  2. Wewe paka umri uwoo Una tafuta nn kwa kaka yakoo, cha maana hapo rud kwenu au kaanzishee maisha yakoo, vingnevyoo ukizingua kuchovyaa utambiwa umebaka.

    ReplyDelete
  3. Mwambie ukweli wewe ni shemegi sio mume wake akome mambo yale amfanyie mume wake sio wewe

    ReplyDelete
  4. Hama tafadhali, maana linalofuata ni wewe na kaka yako kutoongea maisha, ogopa mke wa mtu akikutaka na wewe ukajifanya humtaki lolote atakufanyia

    ReplyDelete
  5. Mtombe usepe, maana hata ucpomtomba atakigombanisha na ndigu yako, bora mgombane lkn ushakula mzigo, huyo ni malaya na hafai kuwa mke wala shemeji

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ushauri mbaya sana huu. Je kama ni mkeo na nduguyo ungeshauri hivyo...wew kaka ondoka haraka hapo lasivyo utapata shida kubwa...kama siyo kusingiziwa kubaka na utakosa msaada kwa kakako.

      Delete
    2. Duh!!hatari sana mkuu chunga

      Delete
  6. Hiyo nyumba mnayoishi ya urithi?umri huo unakaa na kaka yako..sasa ww mtombe..usipomtomba atakuletea zengwe kwa kaka yako,kama hauna kwa kwenda bora umtombe..ili uishi kwa aman.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad