NIMEMMISS MUME WANGU..MAMA MKWE KAJA ANA MWEZI NA HANA DALILI YA KUONDOKA TUNAISHI CHUMBA KIMOJA

Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.

Na kuna watu makini wa kunisaidia. 

Wapenzi nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.

Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu. 

Na alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu. 

Anaogopa kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi kuondoka kwenda kwao Morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. For longterm soln; ongezeni chumba kingine au jenga mjengo wako.For short term soln; mkachukue guest mpige show time.

    ReplyDelete
  2. huyo mama ana lake jambo analolitafuta!!!!!

    ReplyDelete
  3. Jamaniiii! Kero kubwa huyo! Mume mtu haon shida akamwambia mamake aondoke. Huyo aongee na mumewe akiona hatilii maanan labda mwenziwe kuna pahala anajipoza...

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio mpaka mama aambiwe hivi yeye mwenyewe haoni hivi angefanyiwa hivyo na mama mkwe wake angemzaa huyo mtoto wake wa kiume, inakera wakwe wengine ni majanga tu

      Delete
  4. mmmh....huyo mama mkwe nae kiboko...inaonekana hakuishi na mume alikuwa anatotoleshwa watoto......hamna haja ya kumfukuza wala kumsemelea mama mkwe..wewe panga na mumeo muende faraga kuna mahotel...magest kibao aaaa shida kwishinehiiiii

    ReplyDelete
  5. Kwhy bla aib analala ktandan kwa mwanay tena wakiume aaseee,na huy mwanamme haon kma anambania rafk yke!

    ReplyDelete
  6. Kama ni mzazi wako ww ungenfanyaje.

    ReplyDelete
  7. Hmm hiyo mama kakimbia dhida. Kidogo Japo nae apate angalau raha ya kula na kulala na kupumnzika angalau si mnajua wazazi wanasahaulika huko vijijini wako hoi. Japo walau apate nafasi ya kupumnzika kula na kunywa

    ReplyDelete
  8. uyo mama nae bwege tuu kwani hajui kwamba kuna kubofyana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad