NIMESIKITISHWA NA KUKATISHWA KWA HOTUBA YA TUNDU LISSU TBC
Udaku SpecialApril 12, 2014
Nimesikitishwa na kitendo cha Redio FM station 87.5 inayodhaniwa kuwa TBC kukatisha maelezo ya Mweshimiwa Tundu Lissu kwenye Bunge la katiba kama kamati ya nne. Alieleza kwa namna ambavyo Muungano usivyo na ukweli na kutoa vigezo vizuri mpaka alipofikia kutoa tamko kwa ushahidi alionao kuwa Umoja wa Mataifa aukuwa na Hati ya Muungano huo (2009) ndipo walipoamua kukatiza na kutunyima haki ya kusikia alichokuwa akiwakilisha. Aibu kubwa sana hii Nchi si ya Ujamaa wala chama kimoja tuondokane na fikra za kizamani.