NJEMBA YAMBAKA MTOTO WA MIAKA MINNE

Stori: Haruni Sanchawa, Nyemo Chilongani

NI AIBU!Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Iddi Mgosi anashikiliwa na Polisi wa Kituo cha Wazo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka minne (jina linahifadhiwa) huko Mivumoni, Madale Machi 18, mwaka huu

Mgosi, ambaye umri wake haukuweza kupatikana mara moja, anadaiwa kumrubuni mtoto huyo kutoka nyumbani kwao na kumpeleka kwake, ambako alimuingilia kwa nguvu na baadaye kumtisha kutosema lolote kwa wazazi wake.

Mama mzazi wa mtoto huyo, aligundua mwanaye kuwa na maumivu makali wakati akimuogesha, kwani alipomshika sehemu zake za siri, binti huyo alipiga kelele za maumivu na alipoulizwa kilichomsibu ndipo alipoelezea alichofanyiwa.

Akizungumza kwa masikitiko makubwa, mama huyo aitwaye Hadija, alisema alikuwa akimuogesha mtoto wake huyo bila kugundua kwamba alikuwa amebakwa na kuharibiwa vibaya sehemu zake za siri. Alipomshika kwa ajili ya kumsafisha, mtoto huyo akaanza kulia na kulalamika kwamba alikuwa akimuumiza.

Bi Hadija alisema mara baada ya kuambiwa hivyo, akawaita ndugu zake na kuwasimulia alichoambiwa hivyo wote kwa pamoja wakachukua jukumu la kumfuata Mgosi, kumkamata na kumpeleka katika Kituo cha Polisi Wazo.

Baada ya kumuogesha binti yake, wakampeleka katika hospitali ya Mwananyamala alikochukuliwa vipimo kadhaa na kuambiwa wampeleke mtoto huyo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
“Hospitalini walituambia kwamba sehemu zake za siri zimeharibiwa sana na hata kibofu chake cha mkojo pia kimeharibiwa kwani wametoa uchafu mwingi. Kwa sasa amelazwa hospitalini huku akiendelea kupatiwa matibabu na hawajajua ni siku gani ataruhusiwa.”

MTOTO AFUNGUKA
Waandishi wetu hawakuishia hapo, walimfuata mtoto na kumuuliza maswali kadhaa kwa lengo la kujiridhisha ambapo alisema:

“Mgosi alinichukua, akaniambia twende kwake, tulipofika huko akanivua nguo na kunilalia...ameniumiza,” alisema mtoto huyo huku akionekana bado kuwa kwenye maumivu makali.
Baada ya kumpeleka Mgosi katika kituo cha Wazo, aliwekwa rumande na kufunguliwa jalada la mashtaka WH/RB/1891/2014KUBAKA.
GPL

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anyongwe kuma msenge huyo,machangudoa,malaya wa kununua hadi wa 500 wapo,kwanini anafanya unyama wa aina hiyo?alaaniwe na ikiwezekana afirwe....

    ReplyDelete
  2. Sasa watu kama hawa ndio wanatakiwa kufungwa miaka 14 au milele! Sad

    ReplyDelete
  3. Laanakum alaniwe

    ReplyDelete
  4. Huyu ni kifungo maisha na kumfira kila cku

    ReplyDelete
  5. Mshenzi sana huyo jamaa

    ReplyDelete
  6. Wabongo nuski saaana aise, ingelikuwa ni mwanamke katenda hili basi comments zamatusi zingelikuwa mia! Au ingelikuwa mambo ya ugay na ulesbian comments zingekuwa mia na ghamsini , aibu kwenu! Uyo baba si mtu bali nimnyama!

    ReplyDelete
  7. Sasa huyo kama akifungwa atafutiwe basha ili naye afirwe siku zote ambazo yupo jela mpaka siku ya kufa malaya kibao anakwenda kumbaka mtoto kuma lake la nyuma

    ReplyDelete
  8. Huyo jamama akaozee segerea tu, naye wakamle kiboga pumbavu zake. oo

    ReplyDelete
  9. Huyo hukumu yake ni kufirwa mpaka afe huko jela kuma msenge

    ReplyDelete
  10. Na akina mama tuwe macho ma malezi ya watoto wetu jaribu kuwa na watoto karibu nao ujue anacheza wapi na kuwakataza kurubuniea na watu kea zawadi na kuitwa wachumba ndiyo maxoea yanapoanza. Pole sana mzazi na mtoto huyo idd mgosi anatakuwa kufugwa kufungo cha maisha na adhabu kali

    ReplyDelete
  11. Nyau wakijan huyoo,pole sana mzazi mungu atamsimamia mwanao name atapona.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad