OLE SENDEKA AAIBIKA KWA JITIHADA ZA KUZUIA HOJA ZA LUPUMBA BUNGENI
12
April 10, 2014
Mzee wa Simanjiro, Ole Sendeka ameipata ya moto baada ya kukutana na Zomea zomea ya ajabu pale alipotaka kufanya jitihada za kuzuia hoja kali za Prof Lipumba alizokuwa anazijenga alipokuwa akitolea ufafanuzi wa mapendekezo ya wajumbe wachache wa kamati namba kumi. Hoja za Lipumba zilikuwa zinaelekea kuwavua nguo wakubwa kwa jinsi alivyochambua mapato na matumizi ya serikali na ubadhirifu wa pesa hzo mpaka kuwaletea hofu ya kuzmudu serikali 3. Hapo Ole Sendeka akaona aokoe jahazi kwa kufifiza au kupunguza hoja za Lipumba kwa kuomba utaratibu wa kijinga na ndipo alipokutana na zomeazomea ya hali ya juu iliyotulizwa kwa nguvu kubwa ya mwenyekiti Sitta.
Tags
Bora alipozomewa, ccm acheni watu waliosoma wawadadafulie fedha mnazozifuja bila faida yoyote ndani ya nchii kwa kukosa elimu, inzi wa kijani nyie ccm
ReplyDeleteNi vema wamemzomea mana wanapinga serali tatu kwa mgongo wa kusema gharama kubwa ccm lazima wakubali kubadilika ktk hili
ReplyDeleteNa hata wakilazimisha kupindisha maoni ya wananchi bado ktk kura ya maoni tutawaabisha na kuyakataa kwa nguvu zote , kuzomewa kwa sendeka ni vizuri sana kwa sababu wameacha kuzingatia matakwa ya wananchi bali wanafuata maoni ya chama kama suala la serali tatu lipo tu hata kama nyinyi viongozi hamlitaki lakini hayo ndio maoni ya wananchi mnaowaongoza
ReplyDeleteNchi ina maziwa na mito kila sehemu pesa wanazoiba zingetosha kuweka mitambo ya maji nchi nzima
ReplyDeleteNyang'au sendeka mwehu
ReplyDeleteSasa mtu kama huyu sendeka kweli anauchungu na nchi kwel?profesa anajaribu kuelimisha umma wa watanzania jinsi mafisadi wanavyo tafuna hii nchi yeye kwa makusudi anajaribu kumzubaisha ili apoteze maada kweli huyu nae ni mwenzetu kweli?utaifa ukowap sasa!hii nchi inaitaji maombezi makubwa sana wakristo na waislamu tujitahidin kuiombea nchi yetu maana viongoz hawana utaifa ni wao na familia zao!ulaaniwe wewe fisadi sendeka.
ReplyDeleteKazi kweli kweli jamanii
ReplyDeleteLEO NDO NIMEAMINI KUWA MBUNGE MMOJA WA UPINZANI NI SAWA NA WABUNGE KUMU NA TANO WA CCM.HONGERA WACHACHE KUWA NA MTAZAMO CHANYA.
ReplyDeleteTumechoka wezi kweli hao
ReplyDeleteHivi serikali tatu haitakuwa na mafisadi, tofautisha kati ya muundo huo ni wiz ambao unapaswa kupigwa vita sio muundo
ReplyDeleteTukiweka serkali3 tunawajengea mazingira ya kuiba zaidi nawanainchi tutakua hoi zaidi
ReplyDeleteKundu lako fyuuuuuuuuuuuuh
ReplyDelete