ONA UNAFIKI WA MOHAMED RAZA ALIVYOKUWA ANADAI SEREKALI TATU AKIWA ZANZIBAR

Wakuu.

Akiwa Zanzibar Mohamedi Raza alitokwa na povu la kudai serikali tatu na kusisitiza peoples power, lakini baada ya kufika Dodoma akaufyata! Wakati huo huo, gazeti la leo la Nipashe Uk 3 limemnukuu Mohamedi Raza akisema kuwa "...Njaa ndio iliyolazimisha Zanzibar kujiunga na jumuiya ya kitaifa ya kiislamu mapema miaka ya tisini...". Kwa maana hiyo aliyo yasema akiwa Zanzibar na kwenda kubadirisha msimamo baada ya kufika Dodoma nayo tuyape tafsri gani?

Bofya <HAPA >kuona Video ulivyokuwa anatetea Serekali tatu kabla ya Kuja Dodoma


Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndo yale yale!!

    ReplyDelete
  2. du yan watu wanafiki sana

    ReplyDelete
  3. Hahahaha mtu mzima ovyoooooo. Hivi ni kitu gani mtu kinachofanya ukose uelekeo na kubaki unadandia hata kitu ambacho hukukitarajia maishani mwako. Au ndo hiyo njaaa? Kazi kwelikweli

    ReplyDelete
  4. Hana lolote, kauza sana SEMBE baada ya kuona watu wamemshtukia kajidai kujiingiza kwenye siasa, muuza sembe mkubwa huyo!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad