ONYO KWA WANAOPENDA KUCHAFUA WATU WENGINE MAKUSUDI KWA KUPITIA COMMENTS

Kumekuwa na Tabia ambayo imeanza kujitokeza siku za karibuni kwa watu kuchafua wengine kwa makusudi kwa kupitia comments as Anonymous kwa kusema vitu vya uongo juu yao ili mradi waonekane wabaya katika jamii .....Hiyo ni tabia isiyo vumilika kabisa katika jamiii ..kuanzia sasa inatulazimu kupitia kila comment inayopostiwa ili kuzuia uchafuzi wa Hewa  kutoka kwa baadhi ya watu wasio na maadili.....Pia napenda kuomba Samahani na kuwapa Pole wale wote waliochafuliwa kupitia Comments za watu ....Pia Bado tunafatilia ni jinsi gani tunaweza wajua waliopost hizo posts za nyuma wakichafua watu ...Otherwise Enjoy Posts zetu

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. vizuri sana maana ilikuwa too much

    ReplyDelete
  2. Kwakweli...tena wanapost matusi comment zao zisipablishiwe. Watz sijui wana tatizo gan...matus yametawala akili za walio wengi. Tutashukur sana.

    ReplyDelete
  3. Na wale wanaotukana kama Nana junior mmechukua hatua gani?

    ReplyDelete
  4. kabisa safi sana

    ReplyDelete
  5. Wacha wapewe vidonge vyao maana wengine hawajielewi freedom of speech iko wap nyooo

    ReplyDelete
  6. Nana junior peke yake ndiye umeona anatukana? We vipi? matusi unayajua au unayasikia, hujui matusi yalipo? ulitaka wamfanye nini, loo umbea hauna kwao. soma meseji inasemaje sio unakurupuka tu, kuchafua na kutukana ni vitu viwili tofauti umeambiwa usimchafue mtu kwa interest zako sio usitukane we vp? laaaah kazi kweli kweli. mwalimu alipata shida sana darasani

    ReplyDelete
    Replies
    1. wee nae ...asa kutukana ndo unaona ni jambo jema apo...mfyuuu...

      Delete
  7. Inaonekana ww naiman64 ni div 5

    ReplyDelete
  8. Bongo noma sana

    ReplyDelete
  9. Nawe ni dv 9pakashume

    ReplyDelete
  10. Kutukana ina tofauti gani na kuchafua? Hebu muogopeni Muumba, kama k2 umekiona na hukipendi si upite tu. Kuna ulazima gani wa kujitwisha najisi ktk ubongo wako? Unayemchafua hatakufahamu sawa, je aliyekuumba? Unapozea kutukana ktk mitandao unajenga tabia, utatukana mkweo hadharani. Na amini kuwa uteja si wa madawa tu, hata hiyo mineno michafu ni uteja. Tubadilike.

    ReplyDelete
  11. Huyo naiman64 huyo atakuwa ana mtindio wa ubongo bwege huyo. Kinachotakiwa ni kurekebisha tabia sio kuendeleza ujinga na upuuzi. Kama imekuuma acha kuperuzi udaku mjinga wewe.

    ReplyDelete
  12. Comment za matusi haina haja kuzichapisha,ila sasa hivi unatoa topic za siasa watu wakitoa maoni yao huchapishi unaogopa.Basi wacha kuziandika.Andika habari za muziki na kufumaniana

    ReplyDelete
  13. kwa utandawaz gan mlio nao. mbwa tu

    ReplyDelete
  14. wewe div 4 ya 51, hapa hurekebishwa tabia, hapa ni dunia inakufundisha kama wazazi wako walishindwa kukurekebisha tabia hakuna atakayeweza, kumbe unaperuzi udaku ili urekebishwe tabia pole sana. kama unataka kurekebishwa nenda segerea, tusi unalijua wewe, nikisema shavu la chini la mama yako utasema nimekutukana,

    ReplyDelete
  15. kwel kabxa waambie

    ReplyDelete
  16. asante kwa kulitambua hilo. ila kama utaweza ukiona mtu amemchafua mtu au ametoa comment ya matusi isiiweke hewani watu waisome. wazo zuri.

    ReplyDelete
  17. mhhhhhhhhhhhhhhh. majanga hayooooooo

    ReplyDelete
  18. Chefuaneni mkichoka mtasema.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad