PICHA:BABY SHOWER YA SHAMIM ZEZE AKA MRS CHONCHI

Haya ndio Yanayojiri mida hii pande za Jiji La Dar Es Salaam, ni ile baby shower ya Blogger Maarufu Shamim Zeze aka Mrs Chonchi, aka Mama wa B2A, aka Mama wa 8020 Fashion,Naona akiwa na Marafiki zake wakaribu Wakipata "Selfie" Kidogo...

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MRS SEMBE BABY

    ReplyDelete
  2. Unanenepa tu mwenyewe kwa Pesa za sembe Mrembo ? Ama kweli hapendwi Mtu inapendwa Pesaaaa

    ReplyDelete
  3. Tuwekeeni Picha Nyingi Jamani mbona nasikia Wadada Wa Mjini Wamezeeka? teh tehe tehe Madhara ya Kujichubua wapi tulieni Njia Kuu kaeni na Rangi zenu asilia

    ReplyDelete
  4. Mhhhhhh hela haiongopi mnatumbua raha tu hapo huwenda imeteketeza hata milion 10.Ndugu zetu wanazidi kuwa mazezeta kwa madawa nyie mnanawiri na kufurahi.Kesho kwa Mungu utajibu nn?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Million kumi?zimetumika zaidi ya hapo,mboni show kindanindani roho yampwitaaaa.

      Delete
  5. Shamim laana ya mumeo ya waujanani itakutafuna.Ulikuwa una maisha mazuri ila tamaa yakutaka mambo makubwa ndio yanayocucost.Hao marafiki zako machoni ni watu ila moyoni ni wanafki.Mumeo Nchonji ni kubwa la maadui la unga.Vijana wamepoteza dira kwa biashara hii haramu.Chekelea tu sasa hv kesho utajibu nn kwa Mungu?kweli wanawake ni malimbukeni.Abdul anawanawake kila kona.Ww umewekwa ndani ila hapo unastress mpaka basi unajitutumua tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. anaendaga bar moja kunywa supu kila jumapili kule mbezi, anakuwa na wapambe kumbe wale wapambe ndio wanambebea mademu, akitoka anampandisha gari kwa mbele anaondoka nae. Halafu anachukua mademu wa hovyo ile mbaya. kiruuu

      Delete
  6. Mhhhhhh hela haiongopi mnatumbua raha tu hapo huwenda imeteketeza hata milion 10.Ndugu zetu wanazidi kuwa mazezeta kwa madawa nyie mnanawiri na kufurahi.Kesho kwa Mungu utajibu nn?

    ReplyDelete
  7. SHAMIM MJE MUMLISHE NA NYIE MTOTO WENU BASI HUO UJI WA SEMBE ! MSIONE RAHA KUWALISHA WATOTO WA WENZENU TU KUTWA HUKU NYIE MKINGARA

    ReplyDelete
  8. YAANI HAPO NI WWW.UNAFIKI.CO.TZ CHEZEA WANAWAKE WA BONGO WEWE ? WANAMPIGIAJE MAKTIME MUMEO ??

    ReplyDelete
  9. Duh makavu live navile wanasema anajisikia nakuchaguasana watu basi kazi IPO.

    ReplyDelete
  10. Mange kimavi mkome sahamim koment zote juu wewe umeandika

    ReplyDelete
  11. Hv bongo kuna rafiki wa karibu? rafiki yako ni yule wa katikati ya mapaja tena yako.

    ReplyDelete
  12. Hivi ww apo juu umelazimishwa kuandika Rudi darasani 4:35

    ReplyDelete
  13. Hilooooooooooo ungejua Mange hana muda ya kudeal na hy limbukeni.Chungu cha pili hicho shamim katema big kwa karanga zakuonjeshwa.Ushamba mzigo.Enzi hz shamim alikuwa ni wa just for a picture kwa matukio ya wadada wa mjini.Leo hii kwa vile ana hela haramu za unga wanamnyenyekea.

    ReplyDelete
  14. Nawe kauzeni mitumbayenu huko naboss wenu.midomo tu mnamsakama shamim hawajibu.ndio mama ikra usiwajibu kamwe wajinga wajinga wapotezeeee.wivu utawaua mtakomaa sana sura na miguu

    ReplyDelete
    Replies
    1. bora mitumba haina madhara kwa jamii kama sembe, yaani roho zenu za wauma kisa mange - na bado - mtaumia sana tu

      Delete
  15. we mange hapo juu acha kuandika coments zako huku...pumbu we!eti mitumba we uza tu na yeye muache na sembe lake au unataka uunge tela la sembe?

    ReplyDelete
  16. Hebu msitupotezee utamu wa huu ubuyu. Kwani asiyejua kuwa huyo Shamim wenu anajitutumua na pesa za unga nani? Hivyo ni vya mpito bi dada, ulitafuta umaarufu kwa nguvu zote ukawa unaumwa na mbu kisa kuwavizia wadada wa mjini na vishughuli vyao uwapige picha, kila siku kurudi kwa mumeo saa saba, mpaka kaka wa watu akakushindwa, leo hii umeroga weee mpaka ukatoka kuwa punda wa Abdul wa mboni ukamgeuzia kibao mwenzio kwa ushirikina wako, kwa taarifa mapenzi ya ushirikina ni ya msimu tu, tunakusubiri sana. Na ukae ukijua huyo Abdul Serengeti boy wako unayembemenda hivi soon utasikia huko wanakofanya yao na motto Lulu, jiandae mavi yatakutoka.

    ReplyDelete
  17. We lulu si unajifanyaga shamim ni dada yako? na kwenye birthday ulikuwepo, Jamani udada wa mjini kazi ipo. Na huyo Mr. Sembe mbona chupi mkononi sana jamani? na hivi anapesa basi akiona demu mkali tu wapambe wake watakutafuta kwa gharama zozote, shost yangu alimzungusha balaa, mpaka akakatiwa tiket ya go and return ya kwenda kwa dada yake UK ndiyo akamvulia chupi na hapa amehapa akirudi UK analiendeleza limeneke mpaka kieleweke, basi si kutumiwa mi impound kwa western union. Loh mjini ukiwa mzuri raha hulali njaa. Dah ngoja nikanunue mkorogoro mie nikamate wakwasi wenye pesa zao hapa bongo tule ujana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad